Recent content by nevig

  1. nevig

    Msaada: Kwa mwenye ufahamu kuhusu tatizo hili

    Habarin ndug zang? Nina tatizo moja ambalo nimeligundua hivi karibun ambalo linaniumiza kichwa nahitaji msaada kwa anayejua matibabu yake, mm ni Kijana nna umri wa miaka 27 kwa sasa na nna Mke ,nina uwezo wa kushirik tendo la ndoa vzr kama wengn lakini tatzo langu sina uwezo wa kusababisha...
  2. nevig

    Zipi ni sababu za uzi fulani kufutwa humu JF

    Vigezo nmesoma ila kwa uzi nilio ndika hakukuwa na sababu inayohusisha na zile conditions zao na ndio maana natak kujua zaid.
  3. nevig

    Zipi ni sababu za uzi fulani kufutwa humu JF

    Wakuu Naomba kuuliza ni sababu zipi au vigezo vipi vinavyowez fany uzi fulani kufutwa.? Maana jana kuna uzi nilianzisha na ulikuwa na mwendelezo ambao nliplan kuendeleza leo lakin pia kulkuwa na maswal ambayo niliahid nitayajib Leo lakin nlipoingia na kusearch ule uzi naambiwa utakuwa umefutwa...
  4. nevig

    Utapeli, conspiracy & secret societies: Uhalisia wa umiliki wa kesho ya Ulimwengu

    Kazi yako the Bold iko vzr sana big Up nakuelewa mno.
Back
Top Bottom