Yaani sikitu kizuri hata kwa dakika 1, yaani kama serikari ikianza kuingiza hiyo dira hata hiyo bima ya afya kwawote iliyoanza Zanzibar itaangikia pua. Hapa tulipofikia tumeshaona effects za kuigeuza afya biashara na nyie mnazidi kusindika hicho kitu, aisee aisee. Hao wenye hospitali watakuja na...
😆😆😆 match the good with your actions. Labda wewe ulieongopewa. You live in the shadows kama batman😆😆. Mpe elimu ya degrees za taasisi yenu hadi mtu afike 33rd degree tier na nani aliefika. Naishia hapa mengine nikae kimya, sina mwanasheria ila kamwe usipotoshe watu. Sijibu maswali mengine.
Na asichojua, illuminati society ndio msababishi wa majanga yote duniani😂😂. 😆😆😆 Give them the circus and drinks wataacha kuconcentrate na la msingi halafu y
eye atafanya yake, usione michezo na olympics imekuwa mikubwa hivi. Kandamiza the stronger gender halafu iache weak itawale usione feminism...
Muwaambie vijana na sodomization na sacrifices watakazozitoa😆😆😆, mfn mizuri ni Jay z so called beautiful husband na Beyonce pamoja na Kanye West aliyesacrifize mama mzazi
Elewa hichi kitu pudendal nerve ikishashuka huko chini ikatowa matawi yake inajizungusha kwenye kiungo chenu kama kilivyo mviringo. Ila si mwanaume. Ndio maana mwanamke anahitaji quality sex itakayomgusa kila angle ila mwanaume anaridhishwa na quantity of sex ndio maana haridhiki na tendo...
Msaada haulazimishwi na binti kutoomba pesa kwa mwanaume ambaye si mme wake ndio standard disciplinary behaviour. Mwanaume yeyote anayeona kuwa hiyo tabia ni ya kimalaika sana basi hajiamini kwenye misimamo ya mahusiano yake
Hapana kwenye tendo la ndoa anayeburudika ni mwanamke zaidi kwasababu sehemu yake ya siri imezengukwa na seli za mawasilianokote ila kwa mwanaume ni kichwa tu tena kwa juu.
Sio kweli by 50% kwasababu binadamu hubadilika at any point of time na age is a great contributing factor. Ila kwa wanawake, major contributing factor ni menopause kwasababu umri huo many hormonal cycles are disturbed wengi hasa kwa wenzetu huishia kutalikiana ila huyo mama after miaka kadhaa...
Hujafika uzeeni boss, depression katika umri huo ni mbaya sana. Huoni kwasasa ukiwa na nguvu zako nanajua jinsi wanaume tunavyoweza kuishi zetu wenyewe bila stress hata usipoongea na mtu wiki nzima. Ila sio uzeeni
Nakuhakikishia hiki kitu wala hakiendani nahicho, nimekuwa sasa hadi naoa nimeona ishara mbaya kwa mama yangu mzazi kumtuhumu baba ingawa hana hata ushaidi. Pili matatizo ya wazazi wanayamaliza wao kwa wao nilijua wote walivyochangia kwenye mafanikio yangu. Ila ningeenda kichwa kichwa...
Sijui unachoshangaa ni nini kwasababu kwa ajira za Tanzania ukiacha mashirika, hata daktari akikatwa vyote vya hapo anabaki na take home ya laki 8 na kitu kwahiyo difference yake ni laki 3. Hakuna aliyebora. Labda uwe kwenye taasisi au uwe na cheo. Hamna wa kumshangaa mwenzake.
Aisee, sasa shirika imeshindwa kuhusumia per zonal hata kufika nationally unataka kuipeleka globally. Unajua WHO health laws ni universally ila zipo za local pia. Na mpaka sasa many advanced health sirgeries, procedures na equipments huna au unavyo vichache kwasababu hatujafikiria nusu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.