Recent content by Netchman tengia

  1. Netchman tengia

    JamiiForums Tanzania Anguko la CRDB na NMB: Wakopaji wakuu mashirika na Serikali 40% na kashfa za vyeti feki (NECTA)

    Kama mdhamini nae ana chetti feki je?
  2. Netchman tengia

    JamiiForums Tanzania Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Mbona umemwacha Januari Makamba??
  3. Netchman tengia

    JamiiForums Tanzania USHAURI:CHADEMA tumieni "ground troops" kufanya campaign na kunadi chama

    Ndugu ushauri wako ni mzuri sana na hawa jamaa zetu wa "buku saba" lumumba wasikukatishe tamaa unapotaka kutoa ushauri wako! Wao wasubiri 2015
  4. Netchman tengia

    JamiiForums Tanzania Lema akamatwa na Polisi na kuachiwa leo hii

    Nimejitahidi kusoma majibu yanayotolewa na magamba kuhusu hii hoja iliyoletwa ya kukamatwa kwa kamanda Lema, nimegundua kumbe jamaa wa magamba wana mawazo finyu sana. Wanafikiri tabia zao chafu kila mtu anazo tena nawaomba wawatake mahabusu walio jela rathi kwa kuwavunjia heshima, kwamba wao...
  5. Netchman tengia

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa kutikisa Dar leo

    Dr amekuwa mwiba mchungu kwa magamba ndio maana kila ukilitaja jina la Dr utaona jinsi watu wanavyohaha, KARIBU SANA DAR ES SALAAM DR.
  6. Netchman tengia

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Moshi (Pasua & Majengo) tuna shida...

    Badilisha mfumo wa uongozi
Back
Top Bottom