Recent content by Nestory Yamungu

  1. Nestory Yamungu

    Rais Mstaafu Mkapa na Rais Dkt. Magufuli wasuluhisheni haraka Museveni na Kagame kwani hali sasa ni ya Hatari

    Tunaweza kuliangalia hili kwa mtazamo wa maandiko matakatifu kutoka katika Biblia kitabu cha Mathayo 24:6-8 "6 Mtasikia habari za vita na tetesi za vita, msitishike; kwa maana haya hayana budi kutokea; lakini mwisho utakuwa bado. 7 Taifa kwa taifa na nchi kwa nchi zitapigana. Kutakuwa na njaa...
  2. Nestory Yamungu

    Kwanini Tanzania imeagiza Bambardier CS300 lakini zinakuja Airbus A220?

    Asante kwa ufafanuzi naamini umetusaidia wengi kujua kilichosababisha mabadiliko haya. Ila naomba unisaidie kujua gharama za uendeshaji (mfano matumizi ya mafuta) zinatofautiana je kati ya bombadier C300 na Airbus A220?
  3. Nestory Yamungu

    Waziri Kamwelwe asema atawaweka ndani wote wanaohoji ajiuzulu kutokana na MV Nyerere kuzama

    Hivi kumbe kuweka watu ndani kunabadilisha ukweli?
  4. Nestory Yamungu

    Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi

    Ndiyo, nakumbuka sisi balozi wetu aliwahikukataliwa na Rwanda mwaka 2014.
  5. Nestory Yamungu

    Teuzi za wanataaluma wa UDSM kuingia serikalini zinatuletea ukabila

    Ndugu ingawa umebadilisha mada ila naomba nikujibu kidogo. Shida ninayopata kwa ndugu wengi humu ni uelewa wa mambo, mara nyingi tunaandika vitu bila hata kusumbua kichwa kidogo. Mtoa mada anasema uteuzi wa wanataaluma kutoka UDSM kwenda serikalini unafanyika kikabila. Akaendelea mbali zaidi...
  6. Nestory Yamungu

    Teuzi za wanataaluma wa UDSM kuingia serikalini zinatuletea ukabila

    Aise mtoa mada umeandika kwa haraka sana kiasi kwamba wachangiaji wote wanalalamika hawajakuelewa. Labda ungefanunua vizuri hoja yako kwa mifano ili ueleweke vizuri, vinginevyo unaleta hoja dhaifu na isiyo na mashiko. Pamoja na angalizo langu naomba nichangie kidogo hoja hii kwa uelewa wangu. Ni...
  7. Nestory Yamungu

    BOT tengenezeni noti mpya zenye picha ya Rais Magufuli

    Inapokuwa kumbukumbu kwake, vipi hao vingozi waliopita ambao leo sura zao zipo kwenye noti kumbukumbu zao hajihitajiki?
  8. Nestory Yamungu

    Kati ya DED na DAS nani bosi wa mwingine?

    Nahisi tunanukuu sheria mbili tofauti, The Local Government Service Act ya 1982 niliyotumia inasema hivi, nanukuu kifungu cha 22 kifungu kidogo cha kwanza na cha pili Section 22 (1) "There shall be a District Executive Director for each district". Section 22 (2) "The Director shall be...
  9. Nestory Yamungu

    Ni Sahihi wanajeshi wetu kutumika kubeba pochi za Ma DC wetu ndio CCM Mpya?

    Asante kwa kutufahamisha utaratibu, kwa maelezo yako mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hawezi kusaidia na msahuri wa mgambo. Nitajielimisha zaidi, nikipata majibu tofauti nitakueleza hapa.
  10. Nestory Yamungu

    Ni Sahihi wanajeshi wetu kutumika kubeba pochi za Ma DC wetu ndio CCM Mpya?

    Unaniuliza au unaniambia? Ebu soma vizuri nilichoandika kama kuna mahala nimesema anampa mtoto matone!
  11. Nestory Yamungu

    Ni Sahihi wanajeshi wetu kutumika kubeba pochi za Ma DC wetu ndio CCM Mpya?

    Naona tatizoni uelewa mdogo wa taratibu za serikali, katika kila ofisi ya Mkuu wa Wilaya kuna mshauri wa mgambo. Hiki ni kitengo au idara ambayo wafanyakazi wake ni wanajeshi na wanafanya kazi chini ya DC. Sasa ikitokea DC anenda kwenye kazi maalum ambayo inawashirikisha askari kutoka kitengo...
  12. Nestory Yamungu

    Ushauri wa bure kwa DC wa Kisarawe mrembo Jokate

    Ushauri mzuri natumai atafaunyia kazi kama atausoma au walio karibu naye watamfikishia. Kimsing kazi hizi zinahusisha watu wengi na kila mmoja anaweza kutumia operesheni kama njia ya kufikia malengo binafsi. Hapo ndipo umakini unahitajika sana, lakini nami naunga mkono juhudi hizi za kuondoa...
Back
Top Bottom