Recent content by NESARA

  1. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuona mwezi/miezi (How to see moons)

    mwezi/miezi haitoi mwanga,,so it depend with the intensity of how do they reflects light rays.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kama Dunia inazunguka jua kwa Spidi kubwa kwanini vyombo vilivyo nje ya dunia haviachwi?

    gravity and gravitational force are two difference thing having common principle of operating
  3. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuona mwezi/miezi (How to see moons)

    Refraction means bending of ray light as they come across from one media to another,a number of multiple refraction in a series of media results to decrease or increase of an andle of refraction in an outer media,hivyo basi unaposema refraction zinakuwa nyingi nilitegemea pia kuja kukuta...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kama Dunia inazunguka jua kwa Spidi kubwa kwanini vyombo vilivyo nje ya dunia haviachwi?

    ndugu tengua kauli mwezi sio sayari,
  5. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuona mwezi/miezi (How to see moons)

    nakunywa Pepsi ya zamani hapa,,,,sina vioo karibuuu.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuona mwezi/miezi (How to see moons)

    sawa mkuu,,,vp kuhusiana na shape unazoziona ambazo zipo katika mpangilio.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuona mwezi/miezi (How to see moons)

    reflection occur when rays of light bounce back from a surface that does not allow light to pass through.Sasa mkuu naomba utoe maelekezo kidogo kuhusu hiyo maada ya reflection ulioileta,,please tumia fact and logic za kisayansi.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuona mwezi/miezi (How to see moons)

    mkuuu toa fact,,,usilete siasa,,,huu uzi upo practically zaidi na sio kisiasa,,practise first alafu ujeee kuleta logic.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuona mwezi/miezi (How to see moons)

    ni kweli mkuuu,,hata mimi niliitumia enzi hizooo za viatu kutoka Hong Kong,nimeileta hapa ili tuwafumbue macho wasio fahamu chochote
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuona mwezi/miezi (How to see moons)

    mzee baba c ndio ingependeza zaid ili uzitambue ratiba za mashuka ya kutandika
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuona mwezi/miezi (How to see moons)

    MP=Member of / liament
  12. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuona mwezi/miezi (How to see moons)

    hahahaha mkuu hiyo pia ni possible
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kama Dunia inazunguka jua kwa Spidi kubwa kwanini vyombo vilivyo nje ya dunia haviachwi?

    Escape velocity,,,,,daaa nimekusoma mkuuu,,,nahisi hata ile ndege iliopotea juzijuzi itakuwa ili undergoe escape velocity,,,ikapoteana hukoooo
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kama Dunia inazunguka jua kwa Spidi kubwa kwanini vyombo vilivyo nje ya dunia haviachwi?

    😂😂😂😂😂😂😂
  15. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuona mwezi/miezi (How to see moons)

    Jambo kwenu wanaJF. Niende moja kwa moja kwenye maada,ifahamike ya kwamba huu mwezi tunauona unang'ara angani haupo peke yake kuna miezi mingi mingi tu (nimesahau idadi kamili),ila ni zaidi ya sita. Ukitaka kuona mwezi/miezi (moons) fata hatua zifuatazo na zoezi hili lifanyike wakati wa jua...
Back
Top Bottom