Kuna mazee ukisikia yakitamka unaweza tukana ukalimwa ban bure.
Samuya ameweka watu ovyo sana, low IQ wanapenda even lower IQ, makes them feel better.
Tanzania nadhani ipo Top 5 ya nchi ngumu kufanya biashara duniani.
Ni kweli huna kabisa since kushinda barabarani ndiyo the only thing unachokifikiria, huwezi fikiria an inch deeper kuliko maneno kushinda barabarani. Such a waste of space
Wabongo njaa zinawasumbua sana mtu anaona bora aendelee chini ya samuya ili mradi apate buku mbili ya kula. Nchi inazidi kuuzwa hii wenye akili wote watahama watabaki vilaza tu wamepigwa na maisha
Watanzania wengi wanakufa kwa kisukari, nahisi kisukari yaweza kua sababu #1 kwa vifo nchini. Na tatizo kubwa ni sababu watu wengi hawana elimu ya wale nini waache nini, bongo kila mtu ni "piga ugali 80% mbona 20%" wanapiga wanga asubuhi hadi usiku, nutrition ni kitu nadhani kingefundishwa...
Nape ni moja ya watu ovyo sana Tanzania, kafanya vizuri kumuondoa. Mtu aliyefikia level za kutamka mbele ya watu kuhusu swala la kuiba kura huku anacheka as if it's nothing. Mama kamkumbusha kidogo kua kapangiwa seat hana nguvu pale.
Ndiyo hivyo, hata Marekani wanaopambana na china mwisho wa siku wanategemea soko lake, china vilevile inategemea soko la US. Siku zote kelele zipo ila wote ukweli unabaki palepale huwezi simama peke yako. For some reason Tanzania wanajipa kichwa kua wanaweza gombana na mataifa haya na wakashinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.