Musa aliishi kwenye nyumba ya Farao kwa ujana wake wote, lkn alipotoka ndio akawa mkombozi wa waizraeli. Lowasa ndiye Musa wetu kwa watanzania. Acha ushabiki simama kwenye ukweli.
Wewe una afya ya akili? kama umeanza kupata msongo wa mawazo kwa sababu ccm inapigwa chini nawe fanya maamuzi magumu kama wenzako, acha ubabaishaji:thinking:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.