List of failure ya CCM waongoza mabadiliko

List of failure ya CCM waongoza mabadiliko

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Hatimaye list of failures wa CCM watumika kama chombo cha wanaongoza mabadiliko ndani ya UKAWA wameshindwa kuyafanya wakiwa vijana ndani ya CCM watayaweza sasa hivi wakiwa wazee ambapo wengi wao hata kugeuza shingo tu hawawezi?
 
Hakuna ishara kubwa ya kujitambua tanznai kama Mwnye nguvu chama tawala kuachana nacho bila hofu na kujiunga na jeshi la ukombozi. Ndio maana wanachanganyikiwa, Wengi wanamuonea wivu ila wanaogopa wakitoka watakula wapi?

Mabadiliko ya kweli yanapatikana nje ya ccm. walio elewa wameondoka maana wamejaribu wameona ilivyovigumu.
 
Hatimaye list of failures wa ccm watumika kama chombo cha wanaongoza mabadiliko ndani ya ukawa...wameshindwa kuyafanya wakiwa vijana ndani ya ccm watayaweza sasa hivi wakiwa wazee ambapo wengi wao hata kugeuza shingo tu hawawezi????


Kwani unatakaje??

Ccm haitakiwi kwanza wengine wakisikia neno ccm wanapata kichefuchefu
 
Musa aliishi kwenye nyumba ya Farao kwa ujana wake wote, lkn alipotoka ndio akawa mkombozi wa waizraeli. Lowasa ndiye Musa wetu kwa watanzania. Acha ushabiki simama kwenye ukweli.
 
Lowasa hajawahi kuwa m/kiti au katibu wa ccm kama angepewa hizo nafasi ndani ya ccm angeinyoosha
 
hakuna mchafu wa kudumu waa msafi wa kudumu na inavyoonekana inaonesha hata historia za mageuzi hufuatilii ,fyata mkia uone watu wanavyofanya kaz
 
Tambua kuwa CCM kama mfumo is worse than LOWASSA kama individual! Na bila kuimaliza ABSOLUTE POWER ya CCM hata mkipata rais wa aina gani(kupitia CCM) kamwe hamtakaa muyaone maendeleo kwa sababu itakuwa vigumu kubomoa mifumo hovyo ya watangulizi wake.
Tatizo ni uwezo mdogo wa kufuatilia mambo kwa watakaobisha, wazee hao maisha yao wametumika huko bila kuwa na faida leo hii ndo wanaweza kuzaliwa upya?kama bado kuna mtu anawashabikia inabidi apimwe uwezo wake kiakili.
 
hata haje Rais Obama aongoze kupitia ccm. Kupata maendeleo kwa mfumo ule ule wa ccm ni 0.
 
Back
Top Bottom