Recent content by Nemganga 1

  1. N

    GE2020 Wasimamizi wakuu wa vituo vingi vya kupigia kura ni walimu. Je, mwalimu ndiye atakayemnyima fomu ya matokeo ya uchaguzi wakala wa upinzani?

    Acheni walimu wafanye kazi zao maadam wenyewe wameridhika. Kwanza hufanya kazi hizo kwa ufanisi mkubwa msiwatie midukuo sababu aliyewanyima wao ndo kawapa nyie.
  2. N

    NEC: Mawaziri, Wakuu wa mikoa na wilaya hawaruhusiwi kuingia kwenye vyumba vya kujumlishia kura!

    Wagombea wanaruhusiwa kuingia katika kituo cha kupiga, kuhesabu na kujumlisha kura. Na sio mawakala wao pekee.
  3. N

    Makosa ya uchaguzi "Kutoa Siri"

    Maneno kuntu
  4. N

    Naomba kufahamishwa wasifu wa Dkt. Wilson Mahera, Mkurugenzi mpya wa Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC)

    Hebu weka wako kwanza maana unaweza kumpa mwendawazimu wasifu wa mtu ambao hata hauelewi maana yake.
  5. N

    Tungekuwa na Tume Huru, kuna mtu angekuwa anapiga magoti majukwaani hivi sasa

    Akili za watu wengine buana. Uhuru wa Tume huwa unahitajika pale mnapoona maji ya shingo tu? Lisu alikua mbunge je ni Tume ipi ilimtangaza ushindi wake? Hebu tupeni dondoo za hiyo Tume huru mnayoifikiria ni ipi?
Back
Top Bottom