Mbele nyuma.... Nchi haiwezi kubadilika kwa kuwa na taasisi zisizo imara, kisa kuna malaika anaongoza hatamu.
Taasisi imara iko moja tu, Ikulu, nayo haiongozwi kwa utashi wa kitaifa, ni ubinafsi kwenda mbele
Raisi hawezi kukaa kwenye Manispaa. Nahisi hiyo nayo hoja. Sisi bado hatujawa nchi ya vigezo. Siasa uchwara zinatusumbua.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Leo uliamka na kimavi. Kweli kuna nguvu kubwa katika sifuri, haswa kuzidisha/gawanya.
Umesema njia za kisiasa, ndo ujinga huo, hatuchagui/kupendelea mazuri, yanajichagua yenyewe.
Ukaendelea hivi inabidi tukuchane.
There will never be a wrong way to do the right things.
Kuna vichwa amevikanyaga/ponda kama vya nyoka, na ndo maana kwenye hotuba yake alisema imebaki mikia tu inajitikisa.
Vema, acha ajenge uchumi wa nchi, ni muhimu, lkn kama UTU wake ni wa hivyo, inaweza kuwa pigo lake kubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.