CAG, Gavana, wizara ya fedha sasa kuhojiwa ziliko Tril 1.5, pia waziri wa fedha Zanziber na katibu hazina kuhusishwa

Prof Assad anaenda kuhojiwa Na Wanafunzi wa wanafunzi wake!

Kwa Sheria na Kanuni za Bunge, inawezekana Mh.Livingstone Lusinde Au Mh. Msukuma wanaweza kumhoji Prof Assad na kuamua juu ya hatma ya Hoja za Report yake ama kuifuta Au kuendelea nazo !

Akina Aeshy Yule wa Mb. wa Sumbawanga ndio watakaomsulubu Prof Assad Kwa Maswali ya Kihasibu Na Fedha!

Nawaza hii PAC ingekuwa chini ya Zitto ungewaka Moto Kama wa Escrow

Hahahaha
I'm Proud to be Tanzanian
Umemsahau yule wa Nkasi
 
Nami niliwaza hivyo hivyo hii kamati ingekuwa chini ya Zitto haki pange chimbika, sema jamaa walijua mapema Zitto akwekwa pembeni, yani angekuwa hata mjumbe tu pasingetosha
 
Zitto Sasa hivi kawekwa kwenye Kamati ya Maendeleo ya Jamii
Kazi yake ni kufuatilia mambo Yale yahusuyo Sayansi kimu ile ya Primary school, kukagua Matundu ya Vyoo kwenye Masoko Na Stendi kuu za Mikoa, Kampeni ya Unyonyeshaji Kwa Wamama na athari za Mimba za Utotoni Kwa Maendeleo ya Mtoto wa Kike!
 
Prof Assad anaenda kuhojiwa Na Wanafunzi wa wanafunzi wake!

Kwa Sheria na Kanuni za Bunge, inawezekana Mh.Livingstone Lusinde Au Mh. Msukuma wanaweza kumhoji Prof Assad na kuamua juu ya hatma ya Hoja za Report yake ama kuifuta Au kuendelea nazo !

Akina Aeshy Yule wa Mb. wa Sumbawanga ndio watakaomsulubu Prof Assad Kwa Maswali ya Kihasibu Na Fedha!

Nawaza hii PAC ingekuwa bado chini ya Zitto ungewaka Moto Kama wa Escrow

Hahahaha
I'm Proud to be Tanzanian
Pohamba umeanza sasa kujitambua,ok karibu kwenye ulimwengu wa wanaopigania maslahi ya taifa
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Kidumu Chama Tawala

Karibu CCM , huku hata ukikosoa Chama Na Serikal yake huitwi Msaliti wala hatusemi unaiba Siri zetu na kupeleka Kwa maadui zetu
 
Meya wetu wa ubungo kavamiwa na watu walio valia mavazi ya kijeshi na polisi bado hawajafika kwenye eneo la tukio
 
Naendelea kufuatlia comments humu labda nitaelewa......hiyo KAMATI NYETI.......inatoka bungeni au mkuu Kaunda yakwake?
Hata mimi nimekwama kabisa kwenye huu Uzi! Nimewaza kama wewe mkuu. Hii kamati ni ya nani hasa? Nina uhakika si Ndugai wala Tulia mwenye uwezo wa kuruhusu hili jambo lichunguzwe. Kama ni ya Mkulu basi JPM anajiamini sana.
 
Meya wetu wa ubungo kavamiwa na watu walio valia mavazi ya kijeshi na polisi bado hawajafika kwenye eneo la tukio

Bingwa wa Demokrasia Marekani imeweka Mahabusu Watu Kwa Miaka 15 Kwa tuhuma za Ugaidi Na ikawaacha bila ya kuwafikisha Mahakamani
Kwenye kuhakikisha Usalama wa Nchi na Watu wake kumpekua Yeyote unaemuhisi ana chochote tishio Kwa Nchi Sio vibaya
 
Unaweza kujiuliza zile milioni 100 Tanzanite founder ,bombadia,huko Cht Airport,na matumizi ya Anasa na project zilo nje ya Bajeti za Bashite hela wanatoa wapi??? Hapo utajua.
Umesahau tu, zilipitishwa na bunge.
 
Back
Top Bottom