Recent content by NEMA1234

  1. N

    Nikisuka sikai muda mrefu kichwa kinaniwasha tatizo litakuwa nini?

    Nilihangaika na hilo tatizo mpaka nkaacha kusuka,now nimepata solution tumia shampoo inaitwa head and shoulder ukikosa hiyo nenda pharmacy kubwa ulizia shampoo ya kutibu mba then tumia mafuta ya Radiant cream,now nakaa n'a msuko mwezi ikiwa b4 ndani ya siku tatu najikuna hadi natoka vidonda.
  2. N

    Hivi shule za private kumbe ni wagumu unapotaka kuhamisha mwanao

    Na mimi hiyo ilinikuta mpaka nkaenda polisi maana tulifikia pabaya ndo mtoto akahamishwa.
  3. N

    Ni biashara/huduma ipi unaweza kufanya/kutoa ambayo haina bei elekezi?

    Msaada kiongozi ballo za nguo aina gani zinauzika zaidi?
  4. N

    Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

    Hataki anasema namchukuliaje kumwambia afanye biashara hizo,nyie nimejaribu kila mbinu.
  5. N

    Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

    Ni mkorofi hakuna ndugu yake hata mmoja anamsogelea ni mtu wa vita muda wote.
  6. N

    Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

    Siujui ushirikina kabisa,najishusha sana tuzungumze lakini hataki ananyanyuka anaondoka,jibu lake huwa kama naona hana kazi niende kwa wanaume wenye kazi.baada ya ushauri humu ndani itabidi niende kwa kiongozi wetu wa dini amwite tusikilizwe kwa pamoja.
  7. N

    Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

    Asante kwa ushauri mzuri,ntayafanyia kazi Mungu anisaidie.
  8. N

    Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

    Kazi anapata anaenda kama wiki mbili hivi anaacha mwisho wanamtimua na ni jeuri sana hataki hata kuelekezwa huko kazini anataka afanye anachotaka yeye.hadi anapigana.
  9. N

    Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

    Kwanini unasema haina ukweli?hakuna hata kimoja nilichodanganya napitia hiyo situation kwann watu mnakuwa wabinafsi hvyo? Mbaba msomi,ana nguvu,afya nzuri tu mnaona sawa ni sawa tu asifanye kazi?sijui hata cha kusema tena.
  10. N

    Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

    Habarini jamvini? Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni mwanamke sijui kama nimeolewa ama nimeoa huyu mwanaume yapata miaka 8 sasa toka ameachishwa kazi yupo tu nyumbani hataki kufanya kazi yoyote,akipata kibarua anaenda kama wiki hivi anaacha. Biashara ndogondogo hataki kufanya kabisa,mzigo...
  11. N

    KERO Ukerewe: Michango imezidi Shule ya Sekondari Irugwa, pesa ya captation inafanya kazi gani?

    Kama una uwezo wa kulipia lipa kama huna tulia tu hakuna mwalimu atafukuza mwanao huko serikalini
Back
Top Bottom