Aaangalie sana swala la uchumi wa watu wa chini, bajeti imesomwa vizur kwa ajil ya kukuza uchumi wetu ilaa kilichofanyika kapunguzaa kodi ha beer akapandisha mafuta, kupanda kwa mafuta kila kitu vitapanda bei maana 80% ya vitu lazima vitumie usafirishaj... Aaangalie hilo
Wataalamu,
Mimi ni mgeni katika kulima nataka kuanza kulima na hasa ni kilimo Cha mapapai, pilipili mbuz au kichaa na maparachichi! Naombeni mawazo je Niko sahihi kama nitapata soko? Je, changamoto ni zipi?
Au unanishauri ni lime nini ambacho Kiko kwenye soko?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.