Unaweza ukaongea ukweli mtupu kabisa lakini kwa hila!
Kama ilivyo leo wengi sana wanadhani utaua au utakatifu ni njia ya kupata faida.
Meaning that ukiokoka au kumwamini Mungu wa kweli unakuwa tajiri, upaswi kufanya kazi wewe ndo wa kusikilizwa tu, ukihubiri ulipwe, ukifundisha ulipwe, ukiwa...
Ni tofauti
Ref:
Mt 3:11
Kweli mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba; bali yeye ajaye nyuma yangu ana nguvu kuliko mimi, wala sistahili hata kuvichukua viatu vyake; yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.
Ila siku izi kuna walimu na watu wanaifanya kazi kwa ajili ya kupata fedha.
Nini kifanyike?
1.uongozi sekta ya elimu kuacha upendeleo
2. Miundo mbinu kwenye sekta husika
3.walimu wa vijiji kupewa vipaumbele kwa jamii na serikali kwa ujumla
4.ushirikiano baina ya walimu wa mjini na vijiji...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.