Recent content by nelson salema

  1. nelson salema

    Kikokotoo kipya cha mafao ni mwiba kwa wastaafu

    Mafao baada ya kustaafu ni tegemeo kubwa. Wastaafu walikuwa na Imani kuwa michango yao iliyokuwa inaenda kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii itawasaidia uzeeni. Kikokotoo kipya Cha mafao ya wastaafu kinakosesha waathirika Imani na serikali yao kwa kuwa uamuzi wa kikokotoo kipya haikuwa makubaliano...
  2. nelson salema

    SWALI: Tangu Prof. Ndalichako ateuliwe kuwa Waziri wa Elimu, ni kitu gani amefanya katika kuboresha elimu?

    Huyu mama Hana lolote ona sasa anavyoonea wastaafu. ... What comes around goes around... Wao wajiandae tu zamu yao haiko mbali
  3. nelson salema

    Kikokotoo kipya cha mafao ni mwiba kwa wastaafu

    Sijaona hata wapinzani wakisema chochote kuhusu maonevu haya kazi yao katiba mpya huku tunaporwa
  4. nelson salema

    Kikokotoo kipya cha mafao ni mwiba kwa wastaafu

    Hawa vingozi wanaotudhumu kiasi kikubwa hivi hawatabaki salama[emoji47]
  5. nelson salema

    Kikokotoo kipya cha mafao ni mwiba kwa wastaafu

    Serikali haijatutendea haki kabisa. Na sielewi kwanini mtumishi anastaafu alafu wanakokotoa kwenye daraja la nyuma na siyo lile alilostaafia. Hii wizara inayoshughulikia wastaafu wanatuonea waondolewe wawekwe watu watakaotenda hakiii Unataafu ukiwa TGTS G Mafao yanakokotolewa kwenye TGTS F hiyo...
  6. nelson salema

    Kikokotoo kipya cha mafao ni mwiba kwa wastaafu

    Kikokotoo kipya cha mafao ya wastaafu ni mwiba usiovumilika. Inasikitisha sana Waziri anaposema watumishi walielimishwa na wakaridhia. Hivi watumishi walioshirikishwa kutuamulia mafao yetu ni akina nani? Ingependeza sana iwapo tungepewa fedha zetu kama tulivyokuwa tumekubaliana tuliporidhia...
  7. nelson salema

    SIRI YA MWANAFUNZI KUFAULU KTK MASOMO

    Am not Sekela. Naitwa Mwl. Nelson Salema nimefundisha miaka 30 sasa na nimeshuhudia mafanikio makubwa ya wanafunzi wangu. japo kenge hawakosekani kabisa. Nashangaa ati nami naitwa muhuni. Its not only insult to me bt curse as well
  8. nelson salema

    SIRI YA MWANAFUNZI KUFAULU KTK MASOMO

    Pole sana Sexless japo jina ni maarufu kwelx2. Ukishaita walimu genge la wahuni ni mwanzo wa mwanao kufeli. Mwalimu wa siku hizi ni wa miaka gani? Mwalimu naye Wazazi wa siku hizi ni wahuni tu. Acha hizo Sexless. Tabia ya mwanao ni taswira yako ulivyo. Like son/daughter like you if you are a father
  9. nelson salema

    SIRI YA MWANAFUNZI KUFAULU KTK MASOMO

    Sexless Sina uhakika kama wewe ni mzazi au ni mtu gani. Kama una shule ya kawaida si vigumu kujua kuwa wewe ni mdau ktk Elimu. Ni rahisi kwanini basi upeleke mwanao kwenye genge lz wahuni? Serikali gani inaajiri wahuni?Basi hata wote ukiwemo ni mhuni kwa staili yako. Umezaa wewe ni mwalimu wa...
  10. nelson salema

    SIRI YA MWANAFUNZI KUFAULU KTK MASOMO

    Sexless Hakuna mtoto anayezaliwa boarding nduhu yangu. Nitakuwa wa mwisho kuamini msemo "walimu wa siku hizi, au watoto wa diku hizi.." Nimefundisha 30yrs now. Nina uzoefu na wazazi hewa na wazazi makini. AMINI USIAMINI MZAZI NI MWL. NAMBARI MOJA.
  11. nelson salema

    SIRI YA MWANAFUNZI KUFAULU KTK MASOMO

    Duh sio Kungwi ni Mwalimu tuu
Back
Top Bottom