Recent content by Nelson Jacob Kagame

  1. Nelson Jacob Kagame

    Binadamu mnamjua Mungu aliyewaumba au mnakariri hadithi tu?

    Baada ya kupotea mda mrefu nimerudi tena ndugu zangu. Mniwie radhi kwa simulizi nilizoshindwa kuzimalizia.... sababu zilikua nje ya uwezo wangu. Leo ningependa niwaulize watu ambao mnajiita kua mna ubini wa Adamu. Mnamjua Mungu aliyeumba au mnakariri hadithi na mapokeo. Mungu yupo ila asilimia...
  2. Nelson Jacob Kagame

    Upinzani Iran waanza maandalizi ya kupokea uongozi maana ni dhahiri Ayatollah atalazwa muda usio mrefu

    😂😂😂😂.....MNA MOYO WAARABU WEUSI NAONA WAZAYUNI WAMEWAKALIA KOONI
  3. Nelson Jacob Kagame

    Wahuni wa Kinshasa Julai 17 1997- Desemba 25 2024

    Mjomba anaumwa.. KAGAME Ngoja mambo yakae sawa
  4. Nelson Jacob Kagame

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    SASA MBONA STATE TV YA IRAN NA AL JAZEERA ZIMEONYESHA MPAKA PICHA ZA HAO MAKAMANDA
  5. Nelson Jacob Kagame

    Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

    Maombi yenu tafadhali.....hali ya mjomba wangu sio nzuri. Pamoja na yote damu nzito KULIKO MAJI Mjomba wangu anahitaji maombi yenu Tusamehane sisi sote binadamu I hope atarecover soon Ngoja niwahi Chigali kabla mambo hayajawa mengi Taarifa zozote za ziada nitawajuza Ni kweli mjomba kaumiza watu...
  6. Nelson Jacob Kagame

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    NASIKIA HAKUNA KAMANDA HATA MMOJA WA KIJESHI WA IRAN ALIYEKUFA???
  7. Nelson Jacob Kagame

    Wanyarwanda na akili zao

    Naimalizia kaka usijali
  8. Nelson Jacob Kagame

    Wanyarwanda na akili zao

    Baada ya kupotea kwa mda mrefu...nimerudi mda huu. Katika pitapita zangu kilingeni drc...a.k.a shamba la bibi kuna vitu nimeona mengi ya kusikitisha kuliko kufurahisha. Story zote nilizoishia katikati nitazimalizia...msijali. Leo tuzungumzie wanyarwanda na akili zao 🇷🇼🇷🇼. Wakati m23 wanachukua...
  9. Nelson Jacob Kagame

    Ni kitu gani kifanyike ili amani ya DRC Congo??

    Kaka DRC pa moto..... wewe acha tu
  10. Nelson Jacob Kagame

    Wahuni wa Kinshasa Julai 17 1997- Desemba 25 2024

    HOPEFULLY ONE DAY DRC 🇨🇩 KUTAKUA NA AMANI..........DUNIA HAIPO FAIR
  11. Nelson Jacob Kagame

    Wahuni wa Kinshasa Julai 17 1997- Desemba 25 2024

    ITAENDELEA.......MAMBO NI MENGI
  12. Nelson Jacob Kagame

    Wahuni wa Kinshasa Julai 17 1997- Desemba 25 2024

    MDOGO WANGU KULIKUA HAKUKALIKI KULE....NA NIKAACHA KUTUMIA SIMU KWA MDA
Back
Top Bottom