Ahaa bac tu hata kwenye picha jamaa alikuwa hana furaha , huyo dada anaonekana alilazimisha penzi jamaa kachoka kaamua kusepa zake ndy kamzushia hayoo. Lkn akipatikana mwenyewe maelezo yatakuwa tofauti. Mbayaa dada mwenyewe
Ccm cyo mali ya mtu km huwezi kuonyesha hisia zako, istoshe inayoitwa vita hata haikuwa na wapiganaji ilikuwa vita binafsi na mtokeo yake yamedhihirisha hivyo, maana hakuna hata muuza unga aliyekamatwa mpk sasa ktk waliotajwa na makonda, wote waliohojiwa ni watumiaji na wengine wamekana hata...
Pole sana. Sisi ni washauri tu lkn mwisho maamuzi unayo wewe mwenyewe kwn wewe ndy unamjua umuhim na ubaya wake mkeo.cha msingi pata tafakali ya kina na ufikie maamuzi unayoyapenda mwenyewe ambayo yatakupa amani ya moyo.kosa lake linakuwa kubwa kwa kuwa ni bb yake mdogo lkn mpk unapogundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.