Kwa elimu ya Tanzania ni bora kusoma diploma kuliko kwenda advance cz inapoteza muda halafu si hivyo tuu huyu alopita chuo anajikuta tayari kashapata ujuzi wa kazi wakati wewe bado una2ng' ana kukariri definitions
Nashauri pharmacy sababu ni rahisi kujiajil baada ya masomo kuliko maabara vifaa vyake ni ghari japo kama unauwezo nayo waweza kujiajir ile inahitahitaji chemicals, microscope na vinginevyo bt phamacy ni madawa tuu uwe nayo
Ukiingia kwenye website ya nacte utaona kunasehemu imeandikwa institutional panel hapo ndi vyuo vinapowaingiza wanafunzi waloomba moja kwa moja vyuoni kwenye system ya nacte na inasaidia uhakika wa kupata nafasi ya kusoma
Kusoma kwa masafa wanaita distance learning.. Yaani unakuwa unasoma mtandaoni kwa muda mrefu af muda mchache utakuwa darasani na ndio maana inachukua muda mrefu kuliko kusoma moja kwa moja chuoni
Jamani nacte washafunga zoezi la udahili kwa kozi za afya diploma na certificate kwa muhula wa mwezi April ila unaweza kuomba chuoni moja kwa moja wanakuingiza kupitia institutional panel waweza pitia nimeona Tandabui wanafanya hivyo na vyuo vingine
Hapana cheti chako cha form four ndio kinachotumiwa kukupa nafasi ya masomo ila ni lazima uanzie ngazi ya certificate yaan NTA LV 4. Sio lazima uwe umemaliza form 6
Yaani siamini katika hilo ila kama ukisubiri kuajiliwa utalala njaa sanaaa cha msingi jua unataka kufanya nini maana hata huko wasikolala njaa tukienda wotee tukasomea duuuh.. tutakufa njaa co kulala njaa
Hello.
Kwa wale walioomba nafasi za Nursing selection imeanza kufanyika kila wiki majina yatawekwa kwenye website ya chuo. kuwahi kwako ndio kuwahi kuchaguliwa.
Tembelea website ya chuo ww.tihest.org
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.