Recent content by NELLY CB

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo ili nipate mtaji wa kuanzisha kilimo

    Mimi nina mpango wa kulima zao la ufuta mikoa ya kusini hasa mtwara ila nataka kupata mtu ambaye ni mwenyeji wa eneo husika anyeweza kunisaidia kutafuta shamba na pricess zingine
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mradi gani naweza kuufanya kwa mtaji wa milion 8.?

    teh teh... wewe unamshaurije
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo ili nipate mtaji wa kuanzisha kilimo

    umejaribu kuwaona TIB?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wapi na pata mkopo bila mali isio hamishika

    ingekua unaenda na cheti unaweka rehani si kila mtu angeenda kuchkua hela jaman...manake saivi vimekua mapambo tu havina kazi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Soko la mahindi mwanza

    Habari wana JF. Tafadhali naomba kwa yoyote anayejua kampuni inayo/zinazonunua mahindi mwanza anisaidie jina la kampuni au hata na contacts kama anazo. Natanguliza shukurani wadau...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Shontle Supermarket

    sio shontle supermarket ndugu, ni shottle marketing. Wapo maeneo ya amana hospital.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mail ya Tanzania Postal Bank vipi?

    Kweli majanga
Back
Top Bottom