Recent content by Neighbor

  1. N

    JamiiForums Tanzania Happy Women's Day

    May God give you more wisdom and power, God bless you!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Anacheat lakini bado ana wivu kwa mkewe, si ubinafsi huu

    Sio mbaya mbona huulizi huyo anae mliwaza mume wa mtu, au nihaki mume kuliwazwa na nikosa mke kuliwazwa?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mume wa ndoa kumshauri mke kutoa mimba....

    Ni kweli mkuu hapo panaonekana pana tatizo la system, tena wanaume wengi hawapendi wake zao watumie family planing. kuna hata wataalam wengine wa afya wanashauri mama asitumie family planing wakati ananyonyesha, hayo yote yanawachanganya sana wanawake ila kama mwanamke akili kumkichwa kwasababu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tamaa Itanimaliza Jamani

    Well said price, atumie akili kukataza kabla hajaingia matatizoni!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba wanaume wengi wanapenda wanawake weupe?

    Aisee biashara ni matangazo!!!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dada huyu wa ITV (Magreth Cosmas) mwenzenu basi tu jamani

    Tyta upo juu sana mkuu, nilikua natamani sana kumuona mume wa huyu dada!
  7. N

    JamiiForums Tanzania For those who fall in love with someone here

    Papuchi!
  8. N

    JamiiForums Tanzania For those who fall in love with someone here

    Eiyer nikifuatilia coments zako hapa jf nikijumlisha na hiyo personality yako hapo kwenye avetor yeleuuuwiiii!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Is baby wipes safe for wiping vagina?

    Hata mimi nilikua nawaza hivyo!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jamaa katembea na mama mwenyenumba kimenuka ushauri

    Huyo contrctor ana wake wawili tena nimtu wakusafiri halafu inatumia muda mrefu mpaka aje hapo kwa bimdogo, sasa huyo mke na yeye siametafuta mme wa pili ili kubalance mahesabu kwahiyo mwekundu si sawa kumwita huyo mama malaya hayawani. My advice usioe wake wengi kama huwezi kukubaliana na msemo...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Je ulishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu aliyekosea namba kwenye simu yako?

    Mimi sijawahi, ila mfanyakazi mwenzangu wa jinsia yakiume ameoa mwaka jana na mwaka huu mwanzoni wamepata baby gal, huyo mke wake walikutana that way!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkuu Muuza sura wa Jf...!!!

    Aisee kumbe na wewe ni "mkuu"
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nliwabamba lady doctor na Arushaone wakisalimiana

    Nibora wangesalimiana kwakupeana mikono tu, hivyo wameharibu kabisa maana ya kusalimiana kwa kukumbatiana. Watumishi bwana mbona hata neno linasema salimianeni kwa busu takatifu wao wanaogopa nini!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mganga ajulikana kuwa na wake watatu baada ya kifo

    Sijui kwanini waganga mara nyingi utasikia alikufa gafla
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tulikuwa tukichat tu, tumekutana na kufahamiana leo na leo leo tumezini.

    kweli wewe mjanja wa town, sasa haujajiuliza kama wewe upo sawa kichwani kukutana na mtu siku ya kwanza tu na kumuomba!
Back
Top Bottom