Bibi mwenye umri wa takriban miaka 80 aitwaye Mwanahamisi Salimu Mtari (Bibi Keja) alipotea Jumatatu tarehe 21.10.2024 kata ya Mindu mtaa wa Mikoroshini nyumbani kwa mwanaye majira ya saa 11 jioni. Ana tatizo la kupoteza kumbukumbu kwa sababu ya umri wake.
Alikuwa amevaa gauni la bluu...
Naamini tunaweza kuelimishana/kukosoana humu kwenye JF bila matusi. Unataka kuniaminisha kuwa wale wenye uwezo wa kuwa"ban" wenzao wanaweza kuandika cho chote pamoja na kuwatukana wenzao? Je "credibility" ya JF haitakuwa "jeopardized" tukiendekeza hivyo. Mimi binafsi naiheshimu sana JF na ndiyo...
Asante sana kwa matusi. Uzuri wa JF mtu anaweza kuandika cho chote kwa sababu anayemlenga hamjui. Naambatanisha presentation "MAFUNZO MAALUM JUU YA MATUMIZI SAHIHIYA HIFADHI YA BARABARA...".
Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara.
Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda...
TANROADS walikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi hicho. Wangekuwa makini wangewazuia wakati wanalima. Badala ya kuwasifia TANROADS Tabora mimi nadhani inatakiwa wawajibishwe kwa uzembe. Kwanza inaelekea wana roho mbaya. Utakataje mahindi mazuri kama yale wakati sehemu zingine kuna...
Asante kwa majibu yako ingawa sikupenda sana "kunidhania" kuwa niko upande ule mwingine. Mimi siyo mwanasheria kama nilivyoandika ingawa pengine nina uelewa kidogo (nilikaa darasani). Hoja yangu ni kuwa watu tunaowaamini (wanasheria) kama akina Mh. Tundu Lissu wawe "more objective and...
Nimemsikiliza Mh. Tundu Lissu kuhusu mapungufu ya mkataba lakini alichoongelea mbona ni mambo ya kawaida tu ambayo hata mtu wa kawaida tu mwenye uelewa wa sheria za mikataba anapaswa kuyajua. Anachoongelea ni "elements of contract" ambazo hata mimi ambaye si mwanasheria nazijua. Kutokujumuishwa...
Matumizi ya maneno "shall" na "will" kwenye mikataba - Rejea Difference Between Will and Shall in Contracts | Compare the Difference Between Similar Terms
Naomba mwenye "version" ya Kiingereza ya Ibara 4(2) atutumie (ikiwezekana na hizo ibara zingine). Nimemsikiliza Prof. Anna Tibaijuka na alinukuu kipengele cha 4 kama ifuatavyo "Tanzania will inform Dubai of any other opportunity...". Kama hicho kipengele cha 4 alichosema Prof. Tibaijuka ndiyo...
Mimi sijui maana ya neno "sovereingt". Ni lugha gani hiyo? Yale yale niliyoandika ya washabiki wasiokuwa na uelewa wa kutosha. Kazi kuandika matusi tu. Kwani kuandika matusi ndo kutoa hoja? "Kikahaba" maana yake nini?
Sawa neno ujinga linaweza lisiwe tusi lakini ulivyoandika linapekea kwenye tusi. Nilipata hamu sana ya kumsikiliza Prof. Tibaijuka. Kwa kiasi kikubwa ameongelea mambo makuu mawili, "interpretation" na "scope of cooperation" (Kipengele cha 4 kama alivyosema - mimi sina huo mkataba). Amenukuu...
With all due respect to Prof. Anna Tibaijuka. Nilitarajia angetoa maoni yenye mashiko lakini nimemsikiliza mbona anababaisha tu kama vile siyo mtu wa hadhi yake? Labda ana ajenda nyingine. Vifungu anavyosema vina matatizo mbona havina matatizo yo yote. Anashindwa hata kujibu maswali ya waandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.