Recent content by neemia

  1. N

    Serikali kuwalipa wanachama wa DECI mabilioni yao

    Ngoja nianze kutafuta risit zangu nilizopandia mbegu juu ya mawe,
  2. N

    Lowassa azua mapya

    Atazungumziaje richmnd leo ikiwa imepita miaka 7: kwanini asingeongea toka 2008/9 akajisafisha mapema? Hilo suala aliache kama escrow inavyopotea akilini mwa wanadam wa tanzania kauli yetu ; TUGANGE YAJAYA,:
  3. N

    Vijana 5 wanahitajika

    Nikuletee vijana 5 bila uzamini? Upo tayari?
  4. N

    Maoni: Tatizo la Rombo, chanzo ni Dar

    Sawa ila rombo ndio imekua headline then kwingine mifano tu
  5. N

    EWURA imetangaza bei mpya ya Mafuta kwa June, 2015

    Kweli kuna watu wanafki tz sasa walishusha nauli ya nini na walivyotaka kushusha hadi za daladala ?
  6. N

    Wimbi kubwa la watangaza nia URAIS 2015, ni fashion au?

    Kuna student wa chuo nae atatangaza nia kesho
  7. N

    KWAHERINI: Watanzania

    Ametusogeza hatua mbele baranara za lami, ajira bodaboda,
  8. N

    GE2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    Mwigulu jembe la ccm kaingia wizarani kelele zotezimekwisha za EFD.
Back
Top Bottom