Recent content by Neemandandika

  1. N

    Msaada wa Kisheria

    Mkuu mshahara niliyolipwa ni wa mwezi August na September, kama kuna sehemu nimesema October basi nimefanya makosa
  2. N

    Msaada wa Kisheria

    Usikimbilie kuhukumu, sijaiba chochote mkuu
  3. N

    Msaada wa Kisheria

    Bosi wangu hajawahi kamwe kunitongoza achilia mbali kunionyesha ishara ya kunitaka, he is from England, hawa watu huwa na heshima kwa wafanyakazi wao pamoja na wake zao
  4. N

    Msaada wa Kisheria

    Sawa kaka, kweli Bank sina haja ya kuwa chokonoa kwani hata hivyo pesa yao iliyobaki ni kidogo sana baada ya kuwa wamechukua mshahara wangu wote. Kwa sasa wanahitaji nusu tu ya mshahara wangu wa mwez huu kumaliza deni lao. Hii kesi ilianza na mfanyakazi ambaye alikuwa manager wangu kama...
  5. N

    Msaada wa Kisheria

    Mwanzoni tulikuwa tunapewa mkataba wa miaka miwili miwili, then kampuni ikabadilisha na kutoa permanent contract.
  6. N

    Msaada wa Kisheria

    Siku nakuja kuchukuliwa nilikuwa ofisini naendelea na kazi, polis wakaenda kwa bosi na kumwambia kuwa katika upelelezi wao wanaomba wanichuke na mimi, hapo ndiko nikaondoka nao mpaka kituoni. Nikaa ndani kwa siku 3 then nikapata dhamana. Nilipotoka nika mtumia bosi sms kumuuliza kama kesho yake...
  7. N

    Msaada wa Kisheria

    Nikitulia nitaweka details zingine labda zinaweza kukupa mwanga zaidi katika kunishauri
  8. N

    Msaada wa Kisheria

    Asante sana kwa ushauri wako, binafsi sina nia ya kwenda mahakami kwani bado ninalipwa mshahara, nilitaka kujua kama bank wana haki ya kuchukua mshahara wangu wote nje ya makubaliano ya awali ili hali bado sijaachishwa kazi
  9. N

    Msaada wa Kisheria

    Nilikiwa na mikopo miwili, mkubwa wa bank na baadae nikakopa kwa bosi, mwezi huo huo niliyochukua mkopo kwa bosi ndiyo matatizo yalitokea kupelekea bosi kukata pesa zake zote mara moja tofauti na makubaliano ya kukata kwa awamu tatu. Kiasi kilochobaki alipeleka bank kama kawaida na bank wakakata...
  10. N

    Msaada wa Kisheria

    Asante sana mkuu, lakini bosi mshahara alipeleka wote ila bank ndiyo waliamua kukata pesa yao yote kama rejesho kutokana na taarifa walizozipata kutoka kwa bosi. Kosa lilitendwa na manager wangu ambaye ni mtu wa karibu sana na mimi, so uchunguzi unafanyika kubaini kama nami nilihusika ama lah...
  11. N

    Msaada wa Kisheria

    Bado hajanipa jibu
  12. N

    Msaada wa Kisheria

    Wakuu je kuna ofisi ama taasisi inayoshughulikia maswala kama haya ama kutoa msaada?
  13. N

    Msaada wa Kisheria

    Mkuu nimekuelewa, je kwa hapa nilipofika naweza kwenda ofisini au niulize kuwa kama naweza kwend kwa bosi? Mana nilipopata dhamana niliuliza kuwa niende bosi akasema, niongee na mwanasheria wake,
Back
Top Bottom