Kiwanja cha 50X25 kilichopo maeneo ya Burega kinauzwa. Kinapakana na ufukwe wa Lake Tanganyika. Kuna Servants Quarter yenye vyumba viwili na varanda. Kina hati. Bei TZS 15 M. Mawasiliano 0772977330
Swali lako ni zuri. Mjadala ukiwa na watu kama wewe utakuwa wa kistaarabu zaidi. Nimeelezea kwenye sentensi yangu ya kwanza kabisa kwamba chanzo cha mapato ya kulipa kwenye mtandao ni fungu la advertising la Zantel. Kama unavyofahamu makampuni ya telecommunications yanatumia mabilioni ya pesa...
Mimi kabla sijajiunga na mtandao huu nilikuwa nalipia kifurushi cha mwezi cha Tigo kwa Tzs 15,000 ambapo unapata dakika 300 kupiga mitandao yote. Sasa hivi ninanunua cha Zantel cha mwezi kwa gharama ya TZS 14,999 na napata dakika 350, yaani dakika 50 zaidi.
Vilevile Zantel kwa huku bara wana...
Stakafurulah!!! Mashehe uchwara wameingilia mjadala huu kwa sababu tu nimemuheshimu mwanamke mwenzangu aliyevaa hijabu!!! Hoja ya kuchambua mada nilizoweka hawana!!!!
Najua wewe ni msomi unayeweza kutofautisha kati ya Piramidi na Pyramid. Lakini juu ya usomi wako wa kuelewa neno linaloitwa Pyramid umeshindwa kutofautisha kati ya pyramid schemes na hii niliyoielezea wakati mtu anayeelewa Pyramid structure ambaye amesoma maelezo yangu ya KINA kuhusu fursa hii...
Zantel wameshauriwa na Distributor wao mkubwa anayeitwa Rifaro ili watumie fungu la advertising kuwalipa wana wa mtandao ili wawaenezee biashara yao badala ya kupoteza mapesa kwenye matangazo ya mabango, television, radio, mitandaoni, n.k.
Rifaro Africa Ltd inatoa fursa ya kujipatia kipato cha...
Kwa wale watakaotaka kujua ukweli wa biashara hii basi piga No. 100 ya Zantel halafu chagua No. 3 kisha ulizia kama Zantel wana uhusiano na Rifaro Africa Ltd ambayo ndio kampuni iliyoingia mkataba na Zantel kwenye biashara hii ya mtandao.
Kwa mtaji wa TZS 80,000 tu, utaweza kutumia simu yako ya mkononi kukuingizia mapato ya uhakika kila mwezi (TZS 1 Million na zaidi) pamoja na mapato ya uwakala wa laini za simu.
Hii ni fursa ya uhakika na ushahidi wa kulipwa upo kama utataka kuona ushahidi wa malipo ambapo kuna mapato ya wiki...
Tunatoa semina ya bure ya jinsi ya kujiajiri kwa kutumia simu yako ya mkononi kwa mtaji wa TZS 80,000 tu ambapo utaweza kupata mapato ya mwezi ya zaidi ya milioni moja.
Semina inaendeshwa kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa mbili ya usiku kuanzia Jumatatu had Jumamosi ambayo inachukua mda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.