sna sababu ya kudanganya...lkn hyo ilkua baraza la mgogoro walitamka hvyo ni ujnga wang tu sikuuliza zaid lkn ilkua hvyo
Sent using Jamii Forums mobile app
sio miaka miwil wala miez sita...ni miezi mitatu tu anakua mke kiserikali popote anasikilizwa kama majran wakithibitisha mlikua mkiishi kama mke na mume na anapata haki zote kama mke hyo nimeiskia juzi na kwel huyo dada alipata haki yake
ndoa ya kimila ni ile mahari wanayopokea ndug au...
kama utaweza kumshaur...akifika miez tisa kasoro mshaur aende kwao kujifungua salama ni majaaliwa uzaz wa sku hiz mgumu lolote laweza tokea
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.