Recent content by Neek

  1. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya TRA ya written ni kama A.I generated

    Ndio hao
  2. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili TRA Kutangazwa Aprili 25, 2025

    Hahaha tiharaheyii bwana
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kama ulifanya paper ya customs officer ii TRA fungua hapa ujionee.

    Na kweli lilikuwa na 5 marks only maana iliandikwa kabisa section three 5 marks
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tupeane ABCs za Aptitude test Tanzania Commercial Bank post ya RELATIONSHIP OFFICER.

    Sikwenda nilishindwa kuchomoka nilipo
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tupeane ABCs za Aptitude test Tanzania Commercial Bank post ya RELATIONSHIP OFFICER.

    Nimekuta nimetumiwa email hii. Post ilipostiwa humu; https://www.jamiiforums.com/threads/relationship-officer-ii-4-posts-at-tanzania-commercial-bank-february-2025.2307478/
  6. N

    JamiiForums Tanzania KUMEKUCHA! KUMEKUCHA WALIMU WAPYA.

    KUMEKUCHA, Walimu waliofanya usaili wa mahojiano pekee waitwa kazini tayari
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu au kazi yoyote ndani ya mji Tunduma au mkoaa wa Songwe

    Hahaha usomi wa siku hizi inamaana hata yeye mwenyewe hajijui ni nani kwa miaka 3 yote chuoni
  8. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna mtu aliyeomba nafasi za DSS NMB akatumiwa email kwa ajili ya Aptitude Test

    Kweli speed and accuracy inapimwa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna mtu aliyeomba nafasi za DSS NMB akatumiwa email kwa ajili ya Aptitude Test

    Nimefanya tayar test nina 57..5% wadau wengine vip uko? Maswali 40 kwa dk 20 tu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe amechoka Uwaziri na kuamua kumchafua Rais Samia kwa Watanzania?

    Mwandishi umeegamia upande mmoja haukumskiliza Mh. Bashe alivosema hadi mwisho, alisema hivi "ataenda kuonana na wananchi wa kisesa na kuwauliza kama zile tuhuma anazozitoa mbunge wao ni tuhuma ambazo na wao wanaziamini zipo basi serikali haitapeleka kweli hizo dawa lakini kama sio maoni yao...
  11. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

    Ni kweli wanasema tulikuwa na deni
Back
Top Bottom