Recent content by Nedd Ludd

  1. Nedd Ludd

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana

    Waendelee kushupaza shingo. Mimi binafsi nimechoka na nipo tayari kwa lolote, nilikuwa muoga lakini kwa sasa liwalo na liwe tu.
  2. Nedd Ludd

    JamiiForums Tanzania "Huyu Mtu adhibitiwe, anatuchanganya" kauli rasmi ya Mwanasheria wa serikali

    Inasikitisha sana
  3. Nedd Ludd

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Nitawaboreshea usikivu wa TBC Taifa hapa Singida ili iweze kusikika vizuri

    Kuna radio hapa, muda wote inasifia fisiemu tu.
  4. Nedd Ludd

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mattembe: Rais Samia atapata kura nyingi na kumwagika kwa mambo makubwa aliyoyafanya

    Eti makubwa ni upumbavu mtupu!!!
  5. Nedd Ludd

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mwanaume mzima unapata GPA below 4.5 chuoni?

    Hawa ndio wasomi wetu, inasikitisha sana.
  6. Nedd Ludd

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mwanaume mzima unapata GPA below 4.5 chuoni?

    Kwaiyo wewe mwenye 4.5 ndio umeandika huu utumbo
  7. Nedd Ludd

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Watufunge na sisi wananchi wote sasa wabaki wao na familia zao waendelee kufaidi.
  8. Nedd Ludd

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Tafakari, tumeuzwa, tumepigwa bei. Rostam Aziz amepewa migodi kwa bei ya kulangua!

    Hii Sheria ni muhimu sana, hasa katika uwakibikaji wa viongozi
  9. Nedd Ludd

    JamiiForums Tanzania Hongera Jenerali Mabeyo, bila wewe tusingefika hapa

    Mabeyo Mabeyo Mabeyo, ona sasa
  10. Nedd Ludd

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC, NIDA wamkana Polepole

    Kelele
  11. Nedd Ludd

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Wizi wa kura kupitia NIDA na NEC ulifanyika basi sio wanamtandao

    Kwanini App ya CCM Ina access za NIDA? Huu ni ukweli usiopingika.
  12. Nedd Ludd

    JamiiForums Tanzania Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

    Hata kuandika hujui. Haya tunayaita ni mabao ya nyeto
Back
Top Bottom