Recent content by Necromancer

  1. N

    Enyi wakristo acheni ubishi kwani Biblia yenu wenyewe inakiri Mungu alimbariki sana Ishmael na kumfanya kuwa taifa kubwa sana duniani

    Waarabu si natives wa Egypt.Natives wa Egypt ni Paleolithics ambao walitokea Mto Nile. Unafahamu maana ya Kemet? Unafahamu maana ya Africa?
  2. N

    Enyi wakristo acheni ubishi kwani Biblia yenu wenyewe inakiri Mungu alimbariki sana Ishmael na kumfanya kuwa taifa kubwa sana duniani

    Uhalisia ni kwamba waarabu wamevamia kutoka Arabian Peninsula,Misri siyo kwao. Soma
  3. N

    Enyi wakristo acheni ubishi kwani Biblia yenu wenyewe inakiri Mungu alimbariki sana Ishmael na kumfanya kuwa taifa kubwa sana duniani

    Hahahahahaha hebu tutumie bible na vitabu vingine vya kihistoria kama reference.Yaani unataka tumtumie huyo fake pastor kama reference! Kuwa serious kidogo basi na ikibidi tupe elimu ya huyo pastor!
  4. N

    Enyi wakristo acheni ubishi kwani Biblia yenu wenyewe inakiri Mungu alimbariki sana Ishmael na kumfanya kuwa taifa kubwa sana duniani

    Misri ni nyumbani kwa mtu mweusi kama ilivyo Sudan.Mwarabu akishafika sehemu ana tabia ya kufukiza au kufuta kizazi. Kemet ni nyumbani kwa watu weusi.Mwarabu alivamia!
  5. N

    Enyi wakristo acheni ubishi kwani Biblia yenu wenyewe inakiri Mungu alimbariki sana Ishmael na kumfanya kuwa taifa kubwa sana duniani

    Wewe unatumia Taqiyah kuupromote uislam.Ibrahim wa kwenye Biblia hakuwahi kufika Meccah na wala hakumsindikiza yule kijakazi kwenda popote.Alimfukuza!
  6. N

    Hivi ndivyo Marekani na Israel wanavyowamaliza wapalestina kwa pamoja .Inafanana sana na uwindaji wa Simba mbugani

    Uzuri wapalestina wa Gaza washajua mchawi wao ni Hamas.Muda si mrefu kutazuka civil war ndani ya Palestina. Ngoja maandamani yanoge!
  7. N

    Unyanyasaji Wanawake Kingono: Waislam Watoa Wito Pawepo Utenganisho wa Kijinsia wakati wa Ibada ya Tawaf huko Makkah

    Uislam ni dini iliyojengwa kwa misingi ya uongo na kujinasibisha kwa mila na tamaduni za mayahudi. Haya nambie nabii gani nje ya Muhammad amewahi hata kuitaja al kaaba au kwenda kuperform Umrah. Kihistoria Abraham hakuwahi kufika Mecca huyo usimhusishe!
  8. N

    Unyanyasaji Wanawake Kingono: Waislam Watoa Wito Pawepo Utenganisho wa Kijinsia wakati wa Ibada ya Tawaf huko Makkah

    Kabla ya Mudy hakuna nabii yeyote wa wayahudi amerekodiwa kwenda kwenye nyumba ya allah au kwenda mecca kumponda sheitwan mawe
  9. N

    Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

    Waislamu wamewaiga mitume wa kiyahudi uvaaji kama walivyojinasibisha na manabii wao
  10. N

    Waziri Mkuu wa Hamas Ismail Barhoun aangamizwa alipokuwa amejifichwa kwenye hospitali huko gaza

    Hiyo kitu ilimuuma sana Myahudi this time anatembeza kichapo balaa
  11. N

    Waarabu wapigane na Israel kivitendo sio kutoa ahadi ya kujenga pekee pale palipovunjwa.

    Wakati wa Cease fire kila mtu Gaza kavaa kijeshi,haya vita imeanza kila mtu ni raia nyuma ya wanawake na watoto
  12. N

    Waarabu wapigane na Israel kivitendo sio kutoa ahadi ya kujenga pekee pale palipovunjwa.

    Ungekuwa unaiongelea Congo kwa uchungu huu ningekuona wa maana sama
  13. N

    PreGE2025 CHADEMA Mara yawasilisha ripoti ya vifo na upotevu kwa Kanisa Katoliki

    Huko aliko babako naye anajisifu kasomesha!
Back
Top Bottom