Recent content by ndoto ya kimweri

  1. ndoto ya kimweri

    JamiiForums Tanzania Rostam Azizi press conference yako imepuuzwa, nobody is interested in it/discussing it

    Hao unaowatukana ndio mnaiba ela zao na kugawana alafu unawaona wajinga kwamba hawana akili ya kuiba kama wewe popoma?
  2. ndoto ya kimweri

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Wanataka waambiwe majina yako halisi😆😆
  3. ndoto ya kimweri

    JamiiForums Tanzania Rolls Royce, Aston Martin na Lamborghini kwa barabara zipi?

    Mahela yamejaa hayana kazi
  4. ndoto ya kimweri

    JamiiForums Tanzania GE2025 Flatei Massay awekewa pingamizi Ubunge Mbulu

    Zito anazidi kuwa mwepesi😆😆😆
  5. ndoto ya kimweri

    JamiiForums Tanzania Waende kwa CAG kwa sasa CHADEMA imefungiwa inaweza leta hizo document na haina wafanyakazi

    Ni ajabu kweli yaani waliokua wanasimamia mgawanyo wa fedha ndio wanaenda kushitaki kuzulimiwa hata hivyo Mimi siwashangai washtaki bali namshangaa jaji aliepokea kesi
  6. ndoto ya kimweri

    JamiiForums Tanzania JESHI LA WANANCHI SHIKAMOO.

    Huyo mkunda mwenyewe nayeye aliishia kulalamika tu kama wewe kwamba nchi inawahuni wa nje wamejipenyeza na Wana mamlaka makubwa wakuikomboa hii nchi hayupo ndg
  7. ndoto ya kimweri

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya CHADEMA Kuandika Barua UN, US, EU, AU, EAC ni sawa na kupaka rangi upepo.

    Hili jibu ulilompa ni kama gunia la misumari kwenye kichwa cmake🤣🤣🤣🤣
  8. ndoto ya kimweri

    JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

    Wewe mjinga hujui hata historia ya mgodi wa almasi shinyanga? Nyerere aliongoza nchi kwa kutegemea huo mgodi tu na watu walisoma Bure mpaka nje ya nchi alafu wewe unatuletea blaablaa zako hapo huku ujkujidai mkristo nani alieuliza dini yako? Au hoja za polepole zinausiana na Dini wapi?
  9. ndoto ya kimweri

    JamiiForums Tanzania Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

    Chadema hawajakosea wao wanawakumbusha fifa inawezekana vipi club ya Mpira kumsaidia pesa za kumsulubu mpinzani wake? Je ni sahihi na ni haki? Fifa watusaidie majibu
  10. ndoto ya kimweri

    JamiiForums Tanzania Kama wafanyabiashara wenyewe ndiyo hawa walanguzi wa nchi basi JPM alikuwa sahihi kutwaa pesa zao kibabe zikasaidie wananchi

    Singasinga singseth ni kada namba Moja wa ccm nimeona ametupia mpaka shati lake la kijani 🤣🤣🤣🤣
  11. ndoto ya kimweri

    JamiiForums Tanzania Watoto wa marehemu Captain Komba acheni kutia huruma, mnajiabisha sana kama familia

    Hii mototo iliyokulia kwa pesa za laana baba yao angekua madarakani Leo wangekua wanaiponda chadema na kuzarau maskini ila karma imewatembelea wanalia kuliko chadema na maskini wa nchi hii tatizo hawajui kwamba wako kwenye kutumikia karma
  12. ndoto ya kimweri

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Mbowe alienda kumuona Lissu gerezani zaidi ya mara tatu

    Hichi chama Cha chauma sijaelewa sera zake ni zipi maana kila mwanachama wake anapoongea anaizumgumzia chadema utafikiri chadema ndio IPO mamlakani Sasa sijui chadema ndio sera yao watakayopeleka kwa wananchi ili wachaguliwe?
  13. ndoto ya kimweri

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unayejaribu kutoa fomu mbili jitazame hatutanii siye

    Unamtisha nani huku mitandaoni? Fomu zinatoka tatu mchujo ni lazma sio ombi
Back
Top Bottom