Recent content by NDOTO KAVU

  1. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Tumlinde Pole Pole kwa nguvu zote. Ameibua mengi tuliyokuwa hatuyajui

    Pongezi kwa Pole Pole na Nape. Jamani sijaamini kama CCM wangekuwa na mchezo mchafu wa mfimo wa uchaguzi. Tumlinde Pole Pole kwa nguvu zote na tumsamehe inawezekana kipindi akiwa kule alikuwa hana nia mbaya ila yeye akawa anafuatilia mambo muhimu na ameshaanza kuporomoa. Kila kipindi cha Pole...
  2. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Polepole na Nape ni wajasiri, wamegoma kufa na siri moyoni, ndio maana wanasema ukweli

    Hapa viongozi wa Dini, taasisi za kiraia na kimataifa, Wanasheria waungane na wananchi kutibu hiki kidonda. Tuombe bunge la kimataifa itoe mwelekeo kwa raia liamshwe chapu. MUDA WA RAIS UMEISHA AKAE PEMBENI KWANZA TUSAFISHE MATAKATAKA YOTE NA KUFLASHI VIRUSI VYOTE VYA CCM ILI TUINGIE KWENYE...
  3. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

    Hichi kipengele cha CCM na NIDA nakikubali ni kweli. Mfano Tulia, Majaliwa na Samia wanakopesha mitandaoni online ukiomba cha kwanza ni kitambulisho cha Nida au kupiga kura. Ukiwauliza ofisi zenu zikowapi wanajibu ofisi ziko online. Na wanahitaji picha na kitbulisho Nchi ipo kwa matapeli si...
  4. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sasa ni rasmi uchaguzi wa 2025 "HAUTAKUWEPO"

    Mama kwa heri tutakutana mtaani. Jeshi karibuni muandae nchi ikae kama wananchi wanavyota na katiba ya nchi iwekewe ulinzi wa kutosha asitokee kirusi kama CCM akaiteka na kuuwa raia. Muliro umekula vya kutosha ukae pembeni ukaombe msamaha kwa familia ulizowatesa na kuuwa.
  5. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wenzangu tutulieni kwanza tupewe Mwongozo namna ya kumjibu Polepole. Tunaruka na kukanyagana wenyewe

    Nape alisema nini kuhusu uchaguzi? Mwezie kaamua kujitoa kwenye kundi la ushetani. Sasa Nape malizia ile siri uliyotaka kutuambia mnavyofanya.
  6. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aanza kuwaaga wanachama na wafuasi wake kwa huzuni na hisia sana. Je, ameshajua mwisho wa kesi yake na haki yake anayostahili?

    Mnasubiri nini? Hapa ilipo hii kesi itaumbua watu na imefika patamu. Wewe unaonyesha una roho mbaya sana inawezekana hata huna familia. Maisha yako unapenda kunyonga nyonga wenzako. Unamwazia mwenzako mabaya. Kwani baba yako na mama yako hawapo ukawafungulie mashitaka ya kukuleta dunoani...
  7. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Funga ya Novena yaiweka CCM mahali pagumu

    Puuzeni mambo yote lakini kanisa likiamua serikali inakaa chini. Wakiamua kuishambulia serikali, lazima iwasambaratishe. Kumbuka Jeshi, Dola na serikali ni waumini wa makanisa hayo. Serikali halina jeshi la kupambana na raia wote Tanzania.
  8. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kesi ya ya Lissu wanasheria na wanaharakati waipeleke mahakama za kimataifa

    Basi walimu watusaidie kuelimisha vijana wetu hii sumu ya waliopanda CCM. Vijana wetu wajitambue
  9. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kesi ya ya Lissu wanasheria na wanaharakati waipeleke mahakama za kimataifa

    Ila vijana wanachungulia na wana hasira kifuani. Wengi lazima wabebe hasira kifuani hatujui li watawatafuta walengwa.
  10. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kesi ya ya Lissu wanasheria na wanaharakati waipeleke mahakama za kimataifa

    Ndugu zangu kama hapa duniani kuna dhambi inayoumiza watu kama kunyanyasa, kumwonea au uwongo. Nasema hivi nikiwa na maana sisi tunamfahamu mwenzetu LISSU anapewa kesi ambayo sisi tunajua ni uwongo kabisa. Wanasheria wafungue Kesi mahakama za kimataifa kuishitaki Mahakama za Tanzania Mimi sio...
  11. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mzee Butiku, Mzee Warioba vs Mzee Kikwete, nani mshauri mzuri?

    Butiku na Warioba wapo viruri lakini yule jamaa nia yake anataka nchi iwe ya ukoo.
  12. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia

    Wameanza lufumuana. Ukweli utajulikana. Ugpmvi wa Gwaji ni nini wakati alisema ukweli.
  13. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kapeleka vijana wapya 30,000 JKT mnasemaje?

    Miaka ya nyuma walikuwepo chama gani au serikali gani mpaka leo Samia anatokea porini akaokota vijana na kuwaajiri.? Au ameajiri watekaji na wauwaji. Na hapo tupate majibu.
  14. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

    CCM watalazimisha uchaguzi kufanyika na utafanyika na watashinda. Je mtawala atatawala kweli au atakuwa kivuli. Waliokuwepo uchaguzi wa 2020 waliona yaliyompata mwenda zake mpaka akajificha Chato mwisho wa siku akajiondokea zake taratibu. Watu wakala mambuzi wakashinda mabaa wanasherekea...
Back
Top Bottom