Recent content by Ndori

  1. N

    Pana upendo hapa au ndo kuwa mshika pembe?

    kwa kifupi,wakati upo dar ulikuwa chini ya jamaa yake mpya wa tumaini.Sasa upo USA umepanda chati kuliko jamaa yake,hivyo ukimrudia akija USA atakutana watu walio juu yako ki uwezo,uelewa etc,so atakuacha na kuhamia kwa jamaa aliye juu yako. so kaka akili kichwani kwako,kama bado unaisikiliizia...
  2. N

    Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    Bora wajae vyuoni,hii itaweka level ground ktk exams,degree za chupi zitapungua and ma lecturer watakuwa na adabu kidogo,ila pole sana kwa ma lecturer ambao hawana VVU watakuwa na mgumu kujilinda kwani vitoto vya siku hizi vina full confidence and techniki za kumnasa mwalimu anaingia ktk line...
  3. N

    How to do Kwaito Dance moves-Jive

    how can some one learn how to jive in the south African kwaito moves,it would be an ideal exercise dance in the local gyms. naomba link to a video or youtube file on this dance moves
Back
Top Bottom