Recent content by Ndolezi Petro

  1. Ndolezi Petro

    Ndolezi Cup 2025

    NDOLEZI CUP 2025: FROM A CHILDHOOD PROMISE TO A DISTRICT-WIDE MOVEMENT I was born in Nguruka Ward, Uvinza District, and it is here that my life story began. I studied both primary and secondary school in Nguruka, growing up side by side with young people whose lives were rich in talent but...
  2. Ndolezi Petro

    GE2025 Mbio za Ubunge Kigoma Kusini 2025

    Safari ya Ubunge Jimbo la Kigoma Kusini 2025. Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wananchi wa Kigoma Kusini kupitia chama chetu cha ACT-Wazalendo kwa safari tuliyoitembea pamoja tangu mwaka 2020 baada ya uchaguzi Mkuu. Tumekuwa bega kwa bega katika kujenga chama...
  3. Ndolezi Petro

    Ndolezi Petro: Napinga mijadala potofu juu ya ugawaji wa Majimbo ya Uchaguzi

    NAPINGA MIJADALA POTOFU JUU YA UGAWAJI WA MAJIMBO YA UCHAGUZI Hili la kugawa majimbo ni jambo la msingi sana kujadiliwa kwa mapana yake, na hoja yangu katika mjadala huu itajikita kuunga mkono ugawaji wa majimbo kwa kuangazia kiini cha mjadala wa kugawa majimbo ya uchaguzi kwa kuzingatia vigezo...
  4. Ndolezi Petro

    Dira ya Taifa, Hoja 7 Mkononi

    DIRA YA TAIFA 2050, HAKUNA AMANI BILA HAKI Kwenye Mkutano wa Kongamano la Vijana la kuangazia Rasimu ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050. Nilipatata fursa ya kutoa maoni juu ya kuboresha Shabaha za Dira. Nilikwenda na hoja 7 mkononi kama ifuatavyo 01. Kuna Watanzania 91% ambao ni nguvu kazi...
  5. Ndolezi Petro

    Zitto Kabwe kufukuzwa CHADEMA ilikuwa ni jawabu kwa Watanzania waweze kupata chama kipya

    Hujui kwamba 2015 ndo kwa mara ya kwanza kinashiriki uchaguzi na chama Cha ACT Wazalendo kilifanikiwa kushinda kitii Cha Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini na kuweza kuongoza Manispaa ya Kigoma Ujiji. Madiwani 45 hufahahamu hili?
  6. Ndolezi Petro

    Tozo za bila kufuata Sheria ni chaka la ufisadi

    Inauma, inasikitisha, inakera, Inaumiza, inasononesha na Inatia hasira, Serikali ya CCM ilivyo na mapuuza kwa raia wake. Wameongeza Tozo kwenye LUKU kutoka 1500 kwenda 2000 kimyakimya bila kuwaeleza Watanzania. CCM haipaswi kuendelea kuongoza dola. ACT Wazalendo ni mbadala wa Uhakika
  7. Ndolezi Petro

    Zitto Kabwe kufukuzwa CHADEMA ilikuwa ni jawabu kwa Watanzania waweze kupata chama kipya

    Zitto baada ya kuondoka Chadema licha ya kwamba alitumia muda kujijenga chama hakujali aliamua kuanza upya na Chama Cha ACT Wazalendo. Mwaka 2014 Mwezi Mei, 05 chama kilipata usajili wa kudumu na kazi ya ujenzi wa chama ikaanza. Safari haikuwa nyepesi ilikutana na utawala wa Magufuli ulio...
Back
Top Bottom