Recent content by Ndisila

  1. N

    Nashauri Naibu Speaker Job Ndugai aongoze kikao cha bunge kesho

    ndiyo maana Feb. 2008 kabla ya mjadala wa Richmond aliyekuwa spika alimtahadharisha mama huyu asije akakurupuka kuendesha mjadala huo hadi yeye(Spika 6) ataporejea safariini. So hakuna shaka juu ya hulka na tabia ya huyu Mhe. ambaye ana sifa ya kuwa spika wa kwanza mwanamke.
  2. N

    Nini kimempata Nassari?

    Kama kesho wanatakiwa wafanyiwe orientation Kama tunavyoambiwa, je Kama wangeapishwa Leo wangafanyiwa orientation lini? Baada ya kuapishwa?
  3. N

    CHADEMA kutoa uamuzi wa maamuzi ya Mahakama Jumamosi NMC Arusha

    Uhuru wa mahakama ni rahisi kuutamka kwa nadharia kuliko Kutenda. Kama kuna mtu atafanya utafiti juu ya uteuzi wa Majaji sina Shaka hatashangaa juu ya vigezo vinavyotumika kuwateua waheshimiwa hawa. Jibu la chagamoto hii ni Kwenye katiba mpya.
  4. N

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Chanzo cha habari kama hakiko wazi. Otherwise, it appears to be a good team
  5. N

    Chiligati na Mrema wanamhujumu Lissu

    I expected Tundu Lissu to be as smart as ever. He is conduction the case on his own and I can see how these so called witnesses for the Petitioners conceeding to the obvious. What more? it is a total waste of Tax Payers money just to please disgruntled losers and their Allies like Chilli sauce...
Back
Top Bottom