Recent content by Ndimanyilayo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Vigogo 23 ‘kortini’ kwa kutotangaza mali zao

    Kufikisha malalamiko ya Viongozi kuhusu tamko la mali na madeni kwenye Baraza la Maadili ni jambo jema. Lakini inaonyesha Sekretariat walikuwa hawajajipanga vilivyo kwani miongoni mwa watuhumiwa walikishawasilisha matamko yao katika njia zinazoaminika, ingawaje Mwanasheria mwendeshaji aliukana...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Mheshimiwa Spika, kuna makundi ya Watanzania ambao wanautofauti wa kidini na kusema uhuru wa kuabudu upo nchini. Waislamu kuna mambo yao ambayo ni lazima yatendeke kwa misingi ya kiislamu ..... Mh. Mbunge Hemed Mohammed, Hemed - Chonga (30 July 2007) Waislamu nchini kwa muda mrefu wamekuwa...
Back
Top Bottom