Recent content by NDIMA Sir

  1. N

    Naomba msaada kujua maeneo mazuri ya Moshi DC

    Habari wadau, naomba msaada kujua maeneo mazuri ya Moshi DC. kuna mwalimu idara msingi amehamishiwa huko anatamani kujua aanzie wapi
  2. N

    Naomba msaada kijana aliyefaulu aweze kuchaguliwa boarding

    Naomba msaada, naishi na kijana Ambaye Hana baba Wala mama. Nimemlea tangu darasa la kwanza. Uwezo aloo nao ni mkubwa amefauli vizuri darasa la saba Kwa wastani wa A. Natamani apate shule nzuri ya government boarding coz mambo yangu sio mazuri., Ningempeleka private. Naomba msaada Ili aweze...
Back
Top Bottom