Nape ajifunze kwa celina Kombani na Komba dhidi ya Warioba. Msije mkashangaa Nape anakufa kabla ya Lowasa, Kifo ni kifo hata kama ni ajali, Cha muhimu kujua ni kwamba hesabu za maisha ya binadamu ziko mikononi mwa Mungu.
Kwani kinana naye anagombea ubunge, mbona simwoni akizunguka na mgombea ili hali yeye ni mwenyekiti wa Kampeni ? Bila shaka kuna tatizo lingine ambalo halisemwi ndani ya timu ya kampeni ya ccm
Kinana ndiye mwenyekiti wa kampeni za ccm akiongoza lile kundi la watu 32. Tofauti na uchaguzi wa 2010 ambapo Kinana alikuwa anazunguka na mgombea urais wa wakati huo ndg Kikwete, safari hii Kinana hazunguki na Magufuli. Kuna nini nyuma ya pazia?
Je, kuna mgawanyiko ndani ya timu ya kampeni ya...
Katiba hiyo inasema Waziri ni lazima awe mbunge. Bunge lilivunjwa mwezi wa nane lakini hadi leo mawaziri wanaendelea na kazi zao kama mawaziri licha ya kwamba siyo wabunge tena.
Kama Rais anaweza kuvunja Katiba kirahisi namna hii, ni nani au chombo gani kinaweza kumchukulia hatua kwa kosa la...
Katika kipindi cha mada motomoto Channel ten, Polepole amesikika akisema UKAWA hawazungumzii tena ufisadi kwenye kampen zao. Nimjulishe kwamba CHADEMA/UKAWA wameeleza waziwazi kwenye ilani yao kwamba wakishika dola watarudisha rasimu ya pili ya Warioba na kutengeneza katiba ya wananchi. Katika...
Nahisi ile press conference aliyoifanya Mbatia juzi imekiumiza sana chama cha ccm hivyo imepenyeza fitina ndani ya nccr ili kumkomesha Mbatia. Ndio maana press conference yao imefanywa na star tv,kituo cha tv ambacho kinaipiga vita sana ukawa. Lakini wamechelewa, mabadiliko huwa hayatazami nyuma.
Umeeleza vizuri sana Kavulata.
Hapo kabla alitufundisha kwamba 1 + 1 = 2 akasema ccm ni majizi ni mafisadi hayafai. Akasema yamefisadi meremeta, richmond, epa, escrow nk.
Leo hii mwalimu huyu amegeuka anatufundisha kwamba 1 + 1 = 1. Eti sasa ichagueni ccm ni safi. Mwalimu wa namna gani huyu...
Jamar Said
Kule Sumbawanga Jimbo la Kalambo, ndg Josephat Kandege mgombea kwa tiketi ya ccm alizomewa na wananchi mbele ya Magufuli wakati akitambulishwa awasalimie wananchi. Baada ya zomea zomea hiyo, magufuli akamwita aliyeshika nafasi ya pili jukwaani.Alipopanda akaanza kushangiliwa na...
Suala la Lowasa kuhamia Chadema, limefichua tabia halisi ya Dr Slaa iliyokuwa imejificha. Jina la Lowasa lilipelekwa kamati kuu ya Chadema ili kupigiwa kura.
Katika kikao kile Dr Slaa alieleza kwa nini Lowasa hastahili kupeperusha bendera ya Chadema katika uchaguzi wa mwaka huu ikiwemo kashfa...
Kwani kuna uadui wa kudumu ndg yangu?
Katika maisha yako, hakuna watu uliokorofishana nao sana kisha baadaye mkaja kuwa marafiki tena? Hayo ni maumbile tuliyopewa na Mungu ndio maana unalia sana unapopotelewa na ndugu wa karibu lakini baadaye unasahau na maisha ya kicheko yanaendelea.Hakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.