Huwa najiuliza, hivi na sisi Tanzania tutafika wakati tutengeneze drones na Makombora ya masafa marefu?
ikiwa kama basic issues tuna struggle kwa miaka zaid ya sitini yaani (60)?
ilikuwa January 2019 tulipata ugeni kutoka Halmashauri ya Mji Kibaha, tukajulishwa kupitia Mwenyekiti wa kijiji na wenyeviti wa Vitongoji, taarifa ilihusu wananchi kujitokeza kwenye mkutano wa Kijiji, tulihudhuria!!
miongoni mwa agenda zilizotajwa kikakoni, agenda kuu ilihusu wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.