Recent content by Ndiho

  1. Ndiho

    Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

    We were not protectorate, but we were mandatory. Protectorates were Uganda(Kabaka regime) and Sultanate regime(pwani yote toka Mombasa, Lamu, Malindi, Pemba, Tanga, Pangani, Bagamoyo, Dar, Lindi, Mtwara, na sehemu ya Msumbiji)
  2. Ndiho

    Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

    Tulipata uhuru bila machafuko kwa sababu Tanganyika ilikuwa Mandatory chini ya UN, Mwingereza alikuwa mwangalizi. Kama tungekuwa koloni sawa na Kenya isingekuwa rahisi kupata uhuru bila vurumai
  3. Ndiho

    Hayati Magufuli alisaidia Taifa kuwabaini Wapinzani wa Kweli na wale Magumashi. Mfano, huku Kawe tuliamini Halima Mdee ni mpinzani!

    Unawezaje kuwa mpenda mageuzi usyoyashiriki kuyajenga na kuyahuisha? Huu ndiyo unafiki halisi wa watu wa aina yako(na mko wengi Sana Tanzania).
  4. Ndiho

    Hayati Magufuli alisaidia Taifa kuwabaini Wapinzani wa Kweli na wale Magumashi. Mfano, huku Kawe tuliamini Halima Mdee ni mpinzani!

    Perception yako juu ya siasa na wanasiasa wa upinzani imekaa vibaya sana. Haya ni mambo ya kijamii, yanayo hanikiza mifumo ya utawala, ujenzi wa uchumi, democrasia, na hata mambo ya ulinzi na usalama katika nchi. Mtazamo hasi dhidi ya binadamu mwenzako huleta athari katika maisha yako na au...
  5. Ndiho

    Rais Kenyatta aitisha mkutano wa kikanda kujadili usalama DR-Congo

    Shida ya DRC wanapigana kizamani. Wangenunua madenge ya kivita na Drones, M23 wasingefurukuta. Kwa kipindi cha miaka 2 au 3 iliyopita, wangepeleka vijana wao kwenye MAFUNZO ya Usniper Canada au Marekani, sasa hivi wangeshamaliza kozi na M23 wangeipata. Vita ni zana naTechnologia. Siamini kama...
  6. Ndiho

    Rais Samia, inakuwaje shida ya maji maeneo ya Nyashishi, Nangomango, Usagara na Kigongo, Mwanza?

    Hiyo si ndiyo matokeo ya usimamizi wa CCM kwa serikali yake? Kwani unadhani ni sehemu ngapi za nchi watu hawapati maji? Tunaposema tunatakiwa kubadilisha utawala Mbona mnatusimanga na kung'ang'ana na CCM, leo unalalamika kukosa maji? Really? Usijitoe ufahamu bhana.......
  7. Ndiho

    Sera za Majimbo ni za Lazima! Asiyetaka ahame Nchi!

    Kinachosababisha CCM kushindwa kulifanyia kazi suala la Sera ya majimbo ni '' ITIKADI Yao'' ya ujamaa ambayo sasa imeshakwama kwa karne tuliyonayo na huko tuendako. Hakuna namna zaidi ya kuanzisha utawala wa majimbo, kwa maendeleo ya Taifa letu. Mfumo wa utawala wa majimbo huleta ushindani wa...
  8. Ndiho

    CHADEMA wanapinga NEC kuunganishwa kwenye Kesi ya Halima Mdee na wenzake. Je, ni kwa faida ya nani?

    Kaihoji wewe kwa utaratibu unaoujua kwamba utakupa Mamlaka ya kuihoji
  9. Ndiho

    Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

    Hayo ndiyo maisha ya dunia ya tatu. Utu ni bidhaa adimu kwenye hii dunia ya tatu. Mungu atusaide
  10. Ndiho

    Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?

    Neno HAKI limeanza kutamkwa baada ya Mbowe kukutana na Rais na kutangaza walichokubaliana kukihubiri badala ya kuhubiri amani wakati haipo. Hii kuwa ni msema kweli na mtenda haki itajulikana pale mazungumzo Kati yake na Chadema, na CCM yake kama mwenyekiti yatakapokamilika. Sehemu kubwa ya...
  11. Ndiho

    Fatma Karume atuma salamu kwa CHADEMA: "Nawasubiri na udini na ukabila wenu"

    Mzee John ni mchochezi sana. Halafu watu aina hii ndiyo Wanataka wahesabike wenye busara kwenye jamii!!!!!! Mungu tusaidie....
  12. Ndiho

    CCM yaunga mkono Maridhiano ya kisiasa

    Wewe naamini huwezi Kuwa mshindani wa chochote kile, maana unatangaza kushindwa mapema. Hayo mawazo ya nani atafaidi unaonyesha wewe unawaza ubinafsi zaidi kuliko jamii. Mbowe Leo afaidike na nini kwa mazungumzo hayo? Kwamba yuko pale kutafuta fadhila au? Tuna safari ndefu sana kama Taifa.
  13. Ndiho

    Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

    Acha dharau ndg. Unaweza kufikiri una maisha kumbe huna. Weka akiba ya maneno.....
  14. Ndiho

    UVCCM iteteeni CCM katika ujumla wake hapa JF badala ya kutetea Individuals

    Kumbe CCM wanatukana!!!! Mbona mmekuwa mnashambulia vijana wa Chadema kwamba ndiyo wanatukana? Kumbe hata hoja hawajui kujenga, wala kuandika kwa mtiririko unaoeleweka? Asante sana mdau!!!!!
Back
Top Bottom