Recent content by ndiga

  1. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Wewe unatumika Vibaya na ukimaliza jambo Lao wanakudampo Ona huruma kwa kizazi chako kijacho.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Level ya Uhuni unaofanywa na CCM kwa Watanzania imevuka uhuni wanaoweza kuufanya Wanasiasa wowote hapa Duniani

    Nchi ya Tanzania imewekwa mfukoni mwa ccm na genge Lao tunahitaji uhuru wa kweli. kitendo cha kuchezea mifumo ya kupiga kura kinaonyesha kuwa Havana mango wa kuiachia nchi hii kwa njia za haki na vyombo vyote vya ulinzi na usalama havina cha kuwafanya au vinahujumu madhumuni ya kuundwa kwao ...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Stars imemaliza mwendo taifa limepoteza; Morocco ni Football Brain tugange yajayo, Asanteni Watanzania kwa Sapoti kwa timu yenu

    Limefungwa timu lenu la ccm warudi kwenye timu zetu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatupigi kura kidigitali kwamba mtu akiwa na NIDA tayari kapiga kura, tunapiga kura kwenye boksi zinahesabiwa mbele ya mawakala

    CCM ni majangiri na manyanyanyi hayafai kuongoza taifa hili lililobarikiwa na Mungu tuungane kukataa uhuni
  5. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaalika Watu wote Duniani 13/08/2025 kuhudhuria Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Mahakamani

    Hatuwezi wote kuwa na mtizamo wa kiinzi kama wewe. Lisu ni shujaa wa mioyo ya watanzania wengi wenye Mapenzi mema na nchi hii iliyobakwa na wahuni.
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuweni makini sana na wake zenu, wanaliwa sana kwenye hizi hospitali za umma

    Agenda hii ni ngumu kumchunga mwanamke.
  7. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

    Alivamia ni kauli isiyoeleweka na inaonesha jinsi usivyofahamu taratibu za Chama kupata viongozi wa ngazi ya polepole aliyokuwa nayo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanadamu awezaye Kubadilisha au kupinga Maamuzi ya CCM. Rais Samia ndiye Mgombea wa CCM na itabakia kuwa hivyo

    Acha kutulisha maneno yako sisi ccm hatukubali kupelekwa kama kondoo katiba ilibanangwa kumpitisha mgombea irudiwe kama mnaamini anakubalika na ccm wote.
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Afande Muliro: No Reforms No Election haipo kisheria, haiwezekani kabisa

    Kamanda wa polisi Kanda maalum ya Dar es salaam kugeuka kuzungumzia polisi nchi nzima siyo sawa na vipi kuhusu "oktoba tunatiki", iko kisheria?
  10. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Tumeshajua wanaibaje kura, tumepata mbinu ya kuwakabili

    Uko sahihi huyu Zito ni mjinga kama chaguzi zote zilizofanyika na kura kuwa zinaibiwa yeye leo ndiyo amejua namna kura zinavyoibiwa basi kama siyo mjinga ni nani.
  11. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Tumeshajua wanaibaje kura, tumepata mbinu ya kuwakabili

    Huyu hakuna anayemwamini Ila fala wengi wanaamini bado CCM inaweza kuwafikisha nchi ya ahadi na siyo nchi ya adhabu.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Linganisha Msafara wa Waziri wa Fedha wa India na ule wa Waziri wa Fedha wa Tanzania wakielekea Kwenye Mabunge yao kusoma Bajeti Kuu

    Watu weusi ni premitive & selfish hadi Mungu atakaporudi tena duniani.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ni msiba! Mahakama imetekwa rasmi na Dola

    Sio wanawake ni mwelekeo wa chamadola ulianzia kwa mwenda zake alikuwa anatamani kila shauri linaloihusu serikali lazima washinde.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naomba nielimishwe juu ya umuhimu na faida za mwenge wa uhuru unaokimbizwa kila mwaka nchi nzima

    Katika vitu tunavyofanya visivyokuwa na tija kwa watanzania na vimewekwa kwa ajili ya watu kupigia pesa ni mwenge na huu mwenge ni Ushirikina wa CCM unawapumbaza watanzania ukipita tu . Pia ni unachangia pakubwa sana kuvuruga amani ya ndoa za watu,kusababisha UKIMWI na magonjwa ya zinaa kwenye...
Back
Top Bottom