Recent content by ndevchaf

  1. N

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuacha u domo zege

    Domo zege?! Hebu nicheke hehe. Unajua hilo neno limetumika context ipi? Haya twende taratibu. Tunatumia ili au hili Mfano. "Ili ujue kuandika inakupasa uanze na daftari la mwandiko" Au "Hili ujue kuandika inakupasa uanze na daftari la mwandiko". Ipi ni sahihi? Haya rudi mwanzo wa uzi kujua...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Bodaboda na wake za watu

    Ila akikutongoza mwenye mercedez benz sio mautumbo?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuacha u domo zege

    Wewe acha ufala, uandishi has nothing to do with kumtongoza demu. Wewe umepewa uchi na mademu wangapi kwa uandishi wako? Correction: 'ili' sio 'hili'
Back
Top Bottom