Recent content by Ndeshingio

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Stendi ya Magufuli wataka mabasi yote yashushe na kupakia abiria hapo stendi ili wapate wateja

    Waambiwe pia waende wakafanye basi biashara nyerere international airport, si huko abiria wanapanda na kushuka sehemu moja pia?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Stendi ya Magufuli wataka mabasi yote yashushe na kupakia abiria hapo stendi ili wapate wateja

    Shida ni wezi waliopo Magufuli stand, stand ina wezi wote walioshindikana, stand ina wazururaji wote walioshindikana waondolewe kwanza wabaki wastaarabu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Dell laptop inauzwa, HDD: 1TB & RAM 16GB

    Pia ni dell model gani
  4. N

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Dell laptop inauzwa, HDD: 1TB & RAM 16GB

    Sasa mbona Hamna mawasiliano namna ya kukupata, unapatikana wapi mtu akihitaji
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ninafikiria kuanza kutoa tiba ya vidonda vya tumbo

    Umepona kweli ili tumtafute huyu mtu au unatania
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tunauza mwani/sea moss

    Nana ya kuutumia
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

    Hp Elitebook core i7 16g ram 512gb na hii itakuwa being gani Sent from my Infinix X610B using JamiiForums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA My dad is gone

    Wapumzike kwa amani, wapendwa wetu wote.
  9. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kwa wale wanaoteseka na maji ya chumvi pata machine ya kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

    Mkuu naleta tena masihara, tunaovuna maji ya mvua hayahitaji kusafishwa mpaka nilete masihara tena, kama Nina kisima changu cha Lita elfu 50 INA maana siwezi kuyasafisha??
  10. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kwa wale wanaoteseka na maji ya chumvi pata machine ya kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

    Maji ya mvua je, maweza kupata chujio LA kuyafanya safi, je bei ya chujio hilo itakuaje
  11. N

    JamiiForums Tanzania Usikose Alarm hii Nyumbani/Ofisini kwako

    Inaitwaje alarm yenyewe,
  12. N

    JamiiForums Tanzania Niliibiwa begi langu la mgongoni kwenye Bus ya BM iliyokuwa inatoka Dar - Dom

    Ni kweli mkuu ila kwa kweli nilipitiwa na sijui ni kwa nini najilaumu sana mpaka sa hivi nilifanya kosa kubwa sana, ila watu wenye tabia ya kutangaza ni shabiby ingekuwa walitangaza ningeweza nikashtuka mapema lkn haikuwahi kutokea kutangaza hivyo na begi hata sikuwa nimeliweka mbali sana ni...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Niliibiwa begi langu la mgongoni kwenye Bus ya BM iliyokuwa inatoka Dar - Dom

    Mkuu nashukuru sana
  14. N

    JamiiForums Tanzania Niliibiwa begi langu la mgongoni kwenye Bus ya BM iliyokuwa inatoka Dar - Dom

    Jamani sikulewa, nilikuwa nasafiri kikazi kuelekea dodoma kutokea kituo kikuu cha mbezi, niliweka begi langu kwenye staff carrier ya ndani Bahati mbaya sikuchunguza Mara kwa Mara kuwa begi lipo halipo nilikuja kugundua wakati WA kushuka kituo cha mwisho yaani Dodoma ziliko ofisi za BM kwa hiyo...
Back
Top Bottom