Recent content by NDESALUCHO

  1. N

    Yaliyojiri: Kesi ya rufaa ya kupinga ubunge wa Mh. Lissu - 13 Sept, 2013

    Naipenda hii Lissu atasimamia Sheria inavyotaka na sio siasa inavyotaka. Sayansi ya Siasa anaweza kuingia hata Mtu ambaye hajasomea sayansi yenyewe ila Sheria huwezi ingia kama hujasomea na kufuzu.
  2. N

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Ritz hizi milioni 800 mbona kama zinakinzana na ile sheria ya gharama za uchaguzi, au siku hizi haitumiki tena!tuacha propaganda tuwe practical sio kuzusha kama kina fulaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!ambao siku nyingi sijawasikia kabisa.
  3. N

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Kweli kabisa, kumuomba Mungu lazima ila wasi wasi upo hasa kutokana na kutojitokeza watu wengi, na uwezekano mkubwa wa kuchakachua kura leo mana mipango yote huenda imepangwa vilivyo na chichim. Nawaombea makamanda heri.
  4. N

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Wengine tuko mbali na TV zetu, humu maofisi ya Umma hayana TV. tuwekee hiyo kitu hapa.
  5. N

    Nimewajibu CHADEMA mkutano wa Mbozi, tutaimaliza CHADEMA kwa mikono yetu

    Nimeamini siasa unayofanya hakuna atakaye kuamini kwa staili yako hii. Hukuipeleka CHADEMA mbozi ila watu walipenda sera na sio wewe. Vijana mnajirahisha sana kwa kuchumia tumbo.
  6. N

    Mkutano wa dr ndugulile kibada., nilichojifunza.

    Re: Mkutano wa dr ndugulile kibada., nilichojifunza. ajenda kuu ilikua ni juu ya mipango ya serikali kuhusu ujenzi wa mji mpya na kutaka kuhamisha watu kiholela bila kuwashirikisha na wao kujua manufaa ya mradi huo, mfano kasema mtu kama ana uwezo wa kuwekeza...
  7. N

    Mkutano wa dr ndugulile kibada., nilichojifunza.

    Mi ntaburudika sana kama nikijua agenda na yaliyotokea katika huo Mkutano. Napenda watu ambao wanazungumza kwa kuacha unazi wa chama na kuangalia maslahi ya wananchi, lakini cha kushangaza kuna wabunge ambao wao hata jambo liwe baya linapokuja suala la chama wao wanakubali tu sasa sijui ni...
  8. N

    CHADEMA Yaitisha mkutano wa Dharura na Wanahabari leo Makao Makuu.

    Tumaini Makene nasubiri tamko.
  9. N

    CHADEMA Yaitisha mkutano wa Dharura na Wanahabari leo Makao Makuu.

    Kaka Chris Lukosi kwani hao polisi Uingereza wanashindwa vipi kufuata taratibu na kumkamata Lema kama kweli alikbaki maana ni kosa la jinai na wanaweza wakatumia sheria ya Mutual Assistance in Criminal Matters kumkamata kwanini wasifanye hivyo wakati mwanya upo? Hiii nayo itakuwa Propaganda...
  10. N

    Ndugai akiona chamoto jimboni kwake

    Picha tafadhali.
  11. N

    Sakata La Gesi Mtwara: Tuache Unafiki na Woga, Tuchambue Mchele na Pumba

    Mchambuzi Hongera sana, bila kujali itikadi yako hii imekaa kisomi sana na italeta tija kwa taifa. Huyu Jamaa anaitwa Lukosi ni heri asingechangia kabisa mana ukiwa mpumbavu na hutaki watu wafahamu upumbavu wako ni heri ukae kimya.
  12. N

    Mh Rais Kikwete hapa ndipo umetufikisha

    Katika chaguo la Mungu kuna mawili anachagua mtu fulani awe funzo kwenu na msirudie kufanya makosa kama alivypfanya kwa watoto wote wa uzao wa kwanza katika Misri enzi za Farao. au akawa chaguo la Mungu kujenga Misingi ya mshikamano kama ilivyokuwa kwa watu wengi ambao walikuwa na bado ni...
  13. N

    Mkurugenzi Kibaha Janeth Omollo awanyang'anya Ardhi wananchi wa Kidimu bila fidia, je ni ufisadi?

    Umeishiwa hoja unaenda kwenye vituo, nataka uende kule Halmashauri ukasome ili ufahamu ndugu vinginevyo tutapotoshana huku. na wale wasiojua watakuamini ilihali ni uongo mkubwa sana. Na sidhani yule mama alivyokuja kufanya kikao nasi pale kidimu alikuwa na lengo la kutunyanganya maana alisema na...
  14. N

    Mkurugenzi Kibaha Janeth Omollo awanyang'anya Ardhi wananchi wa Kidimu bila fidia, je ni ufisadi?

    Dah!nafurahi sana kupata mjadala huu, sasa kama umenunua kitu bila kufanya utafiti unataka nani akuonee huruma katika hilo, ninaposema cheap siaamnishi kama ulivyoelewa ila namna ulivyopata hiyo ardhi hukuwekeza katika kutafiti eneo likoje ni sawa na kununua gari bovu hasa kutokana na...
  15. N

    Mkurugenzi Kibaha Janeth Omollo awanyang'anya Ardhi wananchi wa Kidimu bila fidia, je ni ufisadi?

    Naamini hata Upinzani hata awe Mbowe au Slaa akiingia Ikulu hawezi kubariki uvunjifu wa sheria kisa kuficha maovu kama mnavyotaka kufaidika na makosa yenu ya uvamizi, Cheap things are always expensive jamani.
Back
Top Bottom