Recent content by Ndeonasiah

  1. Ndeonasiah

    Theresa May ni Nani?

    Unamaan gani huna iman na wanawake Econometrician fafanua ww ndio hujui dunia inaendaje acha mambo yakizamani
  2. Ndeonasiah

    Maendeleo na kanuni zake

    Hapa duniani kila mtu/ nchi anapenda/inapenda maendeleo ila kanuni kuu ya maendeleo hatuifahamu ambayo ni kufanya kazi kwa bidii.Pia kujitolea,kuvumilia,kusamehee ,kuamini kile ukifanyacho na kikuu zaidi ni kuhakikisha huyapotezi au kuyabadilisha malengo yako kamwe! Halafu pia kutokushindana...
Back
Top Bottom