Mleta uzi namfananisha na washikaji fulan nilisomanao chuo, wakikuona umeshika PC unapitia pdf au unadownload vitabu wanakuita Complicator, mkifanya test una 13/15 wanashangaa! ushauri wa wanachuo someni sana vitabu na vitu vingine vinavyohusiana na koz yako mwisho wa siku ni rahisi kufanya...
Yuo are very true,mambo mengi wanayachukua kama yalivyo hawana muda wa kufanya upembuzi au just to take time and think about the reality, pia waTz hawana muda wa kuunganisha matukio kupata picha, u never know labda huyo mbunge aliyepigwa anatumiwa nahao wabunge wengi kumdidimiza shyrose kwatrick...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.