Recent content by ndelekio

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Nawashukuruni wooooooote kwa mawazo yenu nimeshaanza kuyafanyia kazi na bado naendelea,be blessed!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Asante sana my dear mahipsi baby napata kitu kikubwa kupitia ushauri wenu nilikua nimekata tamaa kabisa.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Nashukuru kaka ni kweli nampenda sana ila napata mitihani sana,sasa ngoja tu nitulie kwa muda siku akijirekebisha haya.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Nashukuru kwa ushaur wako ndugu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Inategemea,ni mambo ya kawaida yanayotokea nafkiri busara ingetumika kwa paroko tulishaenda habadiliki
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Rafiki nilijaribu mno kuongea na best zake lkn,habadiliki ni mtoto wa mwisho kwao labda imemwathiri anakua tegemezi kwa kila kitu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Nakushukuru sana kwa kunisisitiza hilo kwani nilifika mahali nikakata tamaa kuliombea.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Nafkiri hujanielewa vizuri lkn nilishayaeleza yote unayoniponda nayo ila amini maswala ya ndoa ni magumu mno,na hapa nipo njia panda.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Bora wangeniuliza kaka,niliwaoma watoe nafasi 30 kutokana na hali ilivyo cha kushangaza walitoa 20 na matusi juu,na waliokuja wote walikua ndugu wa karibu sana na walisafiri mbali tu.Mume wangu sikumjua vizuri coz kikazi tupo mbali kabisa so nilikua siishi naye.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Mapi tatizo hawajataka kuliongelea mm ningesamehe,then tatizo sio mm ni yaliyotendeka siku ile,Mzazi wangu aliyaona mengi ndugu yangu hadi akafikia kusema hayo!Ni mambo yanayoonekana madogo lkn yanasumbua kichwa sana.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Nashukuru kwa ushauri my dear ila jamani,mbona naona hatutafika?yani wiki haipiti hatujakwazana na nisiposolve mimi tutanuniana tuu,yani hadi kanisani tulishaenda lkn hakui wakati ana miaka 35.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Asante rafiki lakini ni ngumu sana,yeye hana ushirikiano wwt,mnayaongea kesho ni yaleyale,kiukweli nimekata tamaa ingawa naumia.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Mimi ni mwanamke wa miaka 28,nilipendana na mpenzi wangu tukapata mtoto kabla ya ndoa na baada ya muda tukafunga ndoa,Sitaisahau siku ya ndoa yangu kwani ilikua siku mbaya maishani mwangu,upande wa mume wangu ulionesha dharau kwa upande wangu,kwani waliwazuia kuingia ukumbini kisa walizidi watu...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyeathirika.!

    Hongera sana kaka,Mungu akupe maisha marefu sana!Bila shaka utafanikiwa.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Given A Second Chance,Would You Still Marry Your Spouse???

    nashukuru bro ndoa ni nzuri lkn kwa wengine inapunguza hadi siku za kuishi!Kwa ambao hawajaolewa wawachunguze sana waume zao jamani!
Back
Top Bottom