Recent content by ndekero

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Tizeba apelekwa Kilimo na Mifugo

    Ukabila rejeeni kwenye speech za Nyerere
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles John Tizeba

    Kanda ya ziwa ndio wakati wao ngoja tuangalie kama watatuletea maendeleo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mzungu huwa hakosei na kwa hili nawaunga mkono 100%

    Mbona hamsemi mawaziri wetu wanakuja kukagua eneo kama shule ambayo haina hata darasa la wanafunzi na gari la mamilioni yanayotosha kujenga shule nzima. Shida yetu viongozi hawana priority ya chochote ya kulete maendeleo ya wananchi, chukua mfano 'the sugar saga' kila kiongozi alikua anatafuta...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Prof. Beno Ndulu: Watu wanaongea wasiyoyajua, BoT haina wafanyakazi hewa

    Aende na Muhimbili University Of Allied Health Sciences aone madudu ya watu waliostaafu na waliokwisha kufariki wanavyoendelea kulipwa na kupelekewa hela kwenye mifuko ya pension. Hiyo ni moja pamoja na ukandamizaji wa maslahi ya wafanyakazi na upendeleo wa kupeana vyeo kikabila
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa hospital ya Butimba Nyamagana wagoma

    Suala hili ni gumu nyinyi wananchi hebu fanyeni utafiti kidogo tu je serikali inazihudumia zahanati kwa kiwango kinachotakiwa? mara kwa mara shutuma zimekua zikienda kwa dr na wafanyakazi wa idara ya afya lakini hakuna anayemlalamikia mwanasiasa. Je kuna mwanasiasa yeyote au mzazi wake...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais wanaokusifia tu hawakusaidii

    Shida ya viongozi wa Tanzania hawana mawazo yao mapya ya kutekeleza ila wanaiga ya kiongozi aliyeko madarakani. Inatakiwa kiongozi anayeteuliwa kushika uwaziri awe na upeo na kuweza kuchanganua matatizo yanayosibu wizara yake na kuyatatua kitaalam. ufisadi upo kwenye mashirika yote ya umma...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa IGP, Gerald Ryoba, mkewe, watoto wawili na wengine wawili wafariki kwa kusombwa na maji

    Polisi Jeshi na Magereza nao wanatakiwa watii sheria bila shurti
Back
Top Bottom