Recent content by ndeka nenga

  1. ndeka nenga

    JamiiForums Tanzania Siasa ya Ujamaa ilikuwa nzuri mno

    Mfumo wa ubepari sio tatzo tatizo ni wale wanaoendesha iyo mifumo na si vinginevo mbona nchi kama aftika kusini inaonekana kupiga hatua katika mfumo wa ubepari pia senegal vile vile husani katika demokrasia
  2. ndeka nenga

    JamiiForums Tanzania Siasa ya Ujamaa ilikuwa nzuri mno

    Naaamh ndugu yangu mnyamwanga mwenzangu upi sawa kabsa lakini sawa hii ni ya miaka 1980 kurudi nyuma hadi tulivopata uhuru, kumbuka binadamu anapitia katika mifumo mingi ya uzalishaji ili kujikimu pamoja na kuboresha maisha yake, kwa dunia ilivo sasa mfumo huu wa kimaa hauwezekani kabsa kabsa...
Back
Top Bottom