COMEDY ZA NDUGU ZANGU ACT.
Kwanza moja ya maombi makubwa ya ACT ni Chadema asishiriki uchaguzi, hii itampa nafasi ya kuwa chama kikuu cha upinzani na Zitto kuwa KB automatically. Hivyo Chadema wajue kabisa ACT wanalao kwenye hili.
Pili, Chadema kwenye movement yao ya NO REFORM NO ELECTION...
Serikali inaagiza sukari nje karibu kila mwaka wakati Tanzania inaweza kuwa inaongoza kwa uzalishaji wa muwa unaoachwa ufie shambani kwa maslahi ya wachache.
Mwaka 2022 nimechoma zaidi ya tani elfu moja kwa kigezo cha muwa umepitiliza muda wa kutengeneza sukari. Tani elfu moja ni tunaongelea...
Maandalizi ya 2025 yameanza Rasmi. Hofu ya mama ni kaskazini ilipo ngome ya Chadema. Dawa ya wanasiasa wabishi ni mwanasiasa mbishi Makonda.
Karata zinaendelea kuchangwa, Lema tayari kapata dawa yake.
Tuendelee kuimba anaupiga mwingi kwa sauti ya Mbowe
Ni jukwaa huru bro, unaweza underline mazuri yake kama waziri wa kilimo. Article yangu haikuwa kwa ajili ya kumpongeza ila kumsema kwa mianya mikubwa inayotuumiza wakulima yeye akiwa kakaa ofisini pasipo kuchukua hatua
Ni sahihi pia kuona anajitahidi ndugu. Lakini wakulima haswa wa mazao yasio nafaka bado tunaumizwa sana na hatuoni akichukua hatua.
1. Kahawa
2. Muwa
3. Parachichi
Tunaomba kwanza waondoe sheria ya mkulima kuwa controlled na vyama vya ushirika ambavyo lwa asilimia kubwa vimejaa upigaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.