Recent content by Ndarakishe

  1. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jinsi Ifakara ilivyotekwa na kukithiri magenge ya uhalifu na matapeli wa mtandaoni maarufu kama halo-haloo

    Polisi wenyewe wanapigwa hadharani na kutishiwa maisha..
  2. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jinsi Ifakara ilivyotekwa na kukithiri magenge ya uhalifu na matapeli wa mtandaoni maarufu kama halo-haloo

    Habarini jamvini, Bado Hali ni mbaya mnoo na ya hatari Kwa wakazi wa vijiji vya LUMEMO, MAHUTANGA KIKWETA, IFOZA, KATINDIUKA IFAKARA kutokana na MAGENGE ya uhalifu wa MTANDAONI walioweka makazi ya kudumu katika kata nilizozitaja hapo juu. Wahalifu hao hawajifichi na wanafanya uhalifu wao wazi...
  3. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jinsi Ifakara ilivyotekwa na kukithiri magenge ya uhalifu na matapeli wa mtandaoni maarufu kama halo-haloo

    Niwengi mnoo na Hadi polisi kata,mfano LUMEMO Huwa anapita kuchukua posho.niwengi mnoo
  4. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jinsi Ifakara ilivyotekwa na kukithiri magenge ya uhalifu na matapeli wa mtandaoni maarufu kama halo-haloo

    Habari wanajamvi, Wilaya ya Kilombero eneo la Ifakara limekumbwa na wimbi la MATAPELI WA MTANDAONI maarufu kama halohaloo. Tumejaribu kila njia kuripoti katika vyombo vya usalama lakini hakuna hatua zozote zinachukuliwa dhidi ya MATAPELI Hawa.. Cha kusikitisha polisi wilaya ya Kilombero haswa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mohamed Surur bingwa mafunzo ya kijihadi wa kikundi cha wahuthi wa Yemen ameuawa

    Duuuhh.. Mambo yameshakuwa kamili
Back
Top Bottom