Tukifikia hiyo hatua ya kuwathamini watu na vitu vyao, ujue kiama kiko umbali wa dakika 3.5
Angalia kuanzia juu kabisa...kama hao ndo think-tank na visionaries wetu, hatujui tuendako!
..sifa hazimpasi Mungu kuwa nazo...?
UKAMILIFU na UTAKATIFU ni nini?
Ukamilifu na utakatifu huo ni kwa mujibu wa imani au uelewa upi?
Ujinga...si kweli, huwezi kumpa hata mtu unayemuheshimu, sembuse tunayeamini kuwa ni Muumba?
Kulala na kuchoka ni hoja zenu kubwa katika kumpinga Yesu sio...
Huwa wanasema(ga) kuwa gari za aina fulani ni mbovu......kumbe wakolokoaji ndio hamna kitu.
Kila service ni kumwaga oil, kubadili filters na kujaza upepo!
Hakuna anayeangalia Maintenance schedule!
Ufundi wa walio wengi ni wa kurithishana, hawana reasoning juu ya wanachofanya!
Toyota ni rahisi...
Kwanini aweze kufanya atakalo halafu nyie mumkataze kuwa na mwana? Nani aliyeamua kuwa hilo aliwezekane na haramu kwake?
Mwezi ni ishara kubwa ili watu waweze kusujudu, angalau naona ikitendeka hivyo, lipo jiwe takatifu linazungukwa na kupewa busu, KUSUJUDU ni kufanya nini?
Hakuna sababu ya...
Kwahiyo Katiba inayotumika nchini ni ipi?
Ya Chama?
Ile iliyofanyiwa maongezo baada ya kuungana?
Au ILANI?
Nilidhani SIASA na BIASHARA hazipaswi kuchangamana?
Kabla ya maneno ya kashfa(MPUMBAVU, WAPUMBAVU), unge-halalisha unachoamini kuhusu NAFSI kuwa ni maana Universal kwa ushahidi kisha ndo uendele na UPUMBAVU wowote ule uliokusudia kuuweka bayana, ingekaa vizuri sana!
"Hakuna shule inayosomesha umakamu wa raisi"
Ningependa kufahamu shule za wote waliojiuzulu, chamani ana serikalini kwa kipindi cha raisi wa awamu hii dhidi ya wale walioteuliwa kuziba nafasi hizo, kwa yeyot mwenye taarifa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.